NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,858
- 5,145
Ahahhaa..Mkuu umeandika uzi wako vizuri, ghafla umeshavutwa hukuuuu...ahahhaKwanza kabisa ningependa kuwapa salamu zangu wadau wote wa jukwaa hili maridhawa, lakini pia kama mtanzania ninayeipenda nchi yangu ningependa kutoa pole kwa wale wote waliokumbwa na janga hili la covid 19 maarufu kama corona, na pia nipende tu kuwakumbusha watanzania wenzangu tuchukue tahadhari zote kwa kufuata ushauri tunaoambiwa na wataalamu ili kupunguza maambukizi au kuhutokomeza kabisa ugonjwa huu.
Naomba nijikite katika mada ambayo imenifanya niandike uzi huu, kutokana na ukweli usiopingika ya kua katika mifumo yetu ya elimu hususani kwetu sisi watu weusi kumekua na mambo mengi ambayo atufundishwi darasani na hii inatokana na ukweli kua mfumo mzima wa elimu yetu bado una elementi nyingi za kikoloni, hivyo kupelekea bahadhi ya mambo yanayotuhusu sisi wenyewe kutofundiswa darasani.
Leo ningependa kuelezea bahadhi ya vitu vilivyogunduliwa au kubuniwa na watu weusi lakini sijui ni kwa bahati mbaya au ni makusudi vitu hivi avifundishwi darasani.
1. Taa zinazotumika kuogozea magari barabarani, maarufu kama traffic light taa hizi zilibuniwa na mmarekani mweusi Garrett Augstus Morgan mwaka 1923
2.mfumo wa kiulinzi majumbani maarufu kama home security system pia aliyebuni mfumo huu ni mtu mweusi anaitwa Marie Brown 1966 huyu alikua ni mwanamke lakini pia alikua nesi
3. Saa ya kwanza kutumika pia ilibuniwa na mtu mweusi anaitwa Benjamin mwaka 1752
4. Mashine ya kukatia majani maarufu kama lawn mower ilibuniwa na mtu mweusi ambeye anaitwa John Albert Burr mwaka 1899
Najua kuna vitu vingi sana vimebuniwa na watu weusi ambavyo tumekua hatufundishwi darasani leo nimekuja na hivyo vitu vinne, kama kuna mdau anajua vitu vingine anaweza kuongezea.
mi mwenyewe nashangaa🙄🙄 ila na naona kichwa cha habari kimeingiliana na uzi uliowai kutolewa humuAhahhaa..Mkuu umeandika uzi wako vizuri, ghafla umeshavutwa hukuuuu...ahahha
Ndiyo kilichofanyika...wakati nasoma uzi wako ulivyopost tuu, kuna notification nilipata, wakati narudi nimalizie kusoma uzi wako...umevutwa humu.mi mwenyewe nashangaa🙄🙄 ila na naona kichwa cha habari kimeingiliana na uzi uliowai kutolewa humu
Kwanza kabisa ningependa kuwapa salamu zangu wadau wote wa jukwaa hili maridhawa, lakini pia kama mtanzania ninayeipenda nchi yangu ningependa kutoa pole kwa wale wote waliokumbwa na janga hili la covid 19 maarufu kama corona, na pia nipende tu kuwakumbusha watanzania wenzangu tuchukue tahadhari zote kwa kufuata ushauri tunaoambiwa na wataalamu ili kupunguza maambukizi au kuhutokomeza kabisa ugonjwa huu.
Naomba nijikite katika mada ambayo imenifanya niandike uzi huu, kutokana na ukweli usiopingika ya kua katika mifumo yetu ya elimu hususani kwetu sisi watu weusi kumekua na mambo mengi ambayo atufundishwi darasani na hii inatokana na ukweli kua mfumo mzima wa elimu yetu bado una elementi nyingi za kikoloni, hivyo kupelekea bahadhi ya mambo yanayotuhusu sisi wenyewe kutofundiswa darasani.
Leo ningependa kuelezea bahadhi ya vitu vilivyogunduliwa au kubuniwa na watu weusi lakini sijui ni kwa bahati mbaya au ni makusudi vitu hivi avifundishwi darasani.
1. Taa zinazotumika kuogozea magari barabarani, maarufu kama traffic light taa hizi zilibuniwa na mmarekani mweusi Garrett Augstus Morgan mwaka 1923
2.mfumo wa kiulinzi majumbani maarufu kama home security system pia aliyebuni mfumo huu ni mtu mweusi anaitwa Marie Brown 1966 huyu alikua ni mwanamke lakini pia alikua nesi
3. Saa ya kwanza kutumika pia ilibuniwa na mtu mweusi anaitwa Benjamin mwaka 1752
4. Mashine ya kukatia majani maarufu kama lawn mower ilibuniwa na mtu mweusi ambeye anaitwa John Albert Burr mwaka 1899
Najua kuna vitu vingi sana vimebuniwa na watu weusi ambavyo tumekua hatufundishwi darasani leo nimekuja na hivyo vitu vinne, kama kuna mdau anajua vitu vingine anaweza kuongezea.
1. KIJANIJe wajua bendera ya tanzania kirangi inatakiwa ipangwe kuanzia juu kuja chini kama ifuatavyo -
1.KIJANI
2.NJANO
3.NYEUSI
4.BULUU
Yeye na Larry SangerJe wajua JIMMY WALES ndiye mwanzilishi wa Wikipedia
ChaiJe wajua kwamba uzito wa sisimizi wote waliopo duniani wakiwekwa pamoja ni sawa na uzito wa binadamu wote waliopo duniani?
Hata kwenye biblia hiyo NAZALETI haipo.Je wajua kuwa:
Hakuna eneo lililowahi kuitwa NAZALETI katika dunia ya uhlisia tofauti na kwenye Biblia??
Hi ni kutoka kwa mtunza maktaba mkuu wa VATICAN
Hata kwenye biblia hiyo NAZALETI haipo.