Kuhusu kulala sana. Naomba niongezee, no alama ya watu wenye akili nyingi sana, au vinginevyo
 
Namba 16 nimeipenda,japo kwa asilimia kubwa zote zimenipa picha fulani ktk maisha ya kila siku
 
Nakubali kumbe wengi tushawahi kuexprience kifo kwa kupiga chafya basi mi na conclude tukifa ni sawa na mshumaa kuzima huendi popote.
 
40 hii kitu ninayo sana nikipanga muda wa kuamka namka bila alqm ya simu wala nn auto kabisa
 
Back
Top Bottom