Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 745
- 1,504
Inatajwa kuwa Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita,kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea.Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa kuishi siku tatu (3) akiwa anekatwa kichwa,anaweza kutembea na kuhisi kama mbele kuna hatari.
Kuna vitu ambavyo vinamfanya Mende aishi akiwa hana kichwa,sababu kubwa ni kutokuwa na "Moyo" ambapo kazi kubwa ya moyo ni kusukumwa damu mwilini.Hivyo Mende hana damu kama ilivyo pia kwa Nzi ambaye pia anauwezo huo wa kuishi akiwa hana kichwa na anakuwa na uelekeo mzuri zaidi akiwa anapaa tofauti na akiwa na kichwa.
#Note:- Kuamini haya inakupasa ufanye majaribio kwa viumbe hivyo.