Je wajua mambo haya? yanashangaza kwa kweli

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
_JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA.._
..
*Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?*
...'
*Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??*
...
*Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje?*
..
*Unamtongoza Mwanamke Miez Mitatu Akikukubalia Unafanya Nae Ngono Ukiwa Umevaa Kondomu Kwanini? Kama Ulijua Kuwa Mwanamke Huyo Ni Hatari Kwa Afya Yako Kwanin Ulipoteza Muda Wako Kumtongoza??*
..
*Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe!*
..
*Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula Mavi??*
...
*Anakata Mti Anategemea Karatasi Halafu Juu Ya Karatasi Anaandika "USIKATE MTI"*
..
*Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako* *Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa Serious Bwana*
___
 
Mtu ananawa mikono kujiandaa kula anafika mezani na kuchukua chupa ya chumvi anaongeza . Anakamata chupa ya tomato surce . Anavuta kiti kukaa sawa , mikono ile ile aliyonawa na kufunga koki ya bomba anashika kipande cha kuku mikono yote na kuanza kunyofoa kupeleka mdomoni . Simu inaita analamba vidole anapokea anazungumza . Kisha anapiga self picha ya chakula anachokula na kuendelea kula . Sisi tukiwa wadogo tulifundishwa kula na mkono mmoja tu wa kulia sio wa kushoto
 
mkuu hapa umeua
 


Tabia ya kuingia na mdomo na pua msalani wakati kuingia na kikombe au mswaki inatajwa kuwa ni hatari kwa afya yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…