"Logos" (Λόγος) ni neno la Kigiriki ambalo linamaanisha "neno",au "hoja" Katika falsafa ya Kigiriki,
Falsafa hi ya Kigiriki Iliyokopwa Dhana ya "Logos" (Neno) ilichukuliwa kutoka kwa Filo wa Aleksandria na Uplatoni kujaribu kumuelezea Mungu kwa Wayunani. Haikuwa dhana ya Kiyehudi.
Katika muktadha wa Biblia, hasa katika Injili ya Yohana, Logos inatumika kurejelea Yesu Kristo kama Neno la Mungu. Yohana 1:1 inasema, "Hapo mwanzo kulikuwa na Neno, naye Neno alikuwa na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."!!!!!
Tanibihi: wasio kua na roho mtakatifu watapinga hi dhana ya Neno, ila sie wana historia na teologia tuna mengi yakujifunza katika falsafa kama hizi.