Je, wajua Kuwa LINKEDIN yaweza kukusaidia kupata kazi ukiweka profile yako vizuri?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kujaza vizuri profile yako kwenye LINKEDIn kwaweza kusaidia kupata kazi

Msikilize huyu Profesa ili usijaze hovyohovyo

Hizi mambo kwa mtanzania ni kama kupoteza muda au kusema matapeli tu hao.

Mara kadhaa issues za kuweka mafile yako wazi mtandaoni huwa tunaona ni utapeli, ila wengine wanatoboa.

Angalia hata profile ya mtu kwenye email au YouTube account unakuta mtu kaweka picha ya nyani au funza, hapo ndipo unaweza kujua akili ya huyo mtu ikoje kabla ya kumuunganisha na issue unayotaka.
 
Nakubaliana na wewe kwa 80%
 
Angalia hata profile ya mtu kwenye email au YouTube account unakuta mtu kaweka picha ya nyani au funza, hapo ndipo unaweza kujua akili ya huyo mtu ikoje kabla ya kumuunganisha na issue unayotaka.
Uko sahihi
 
Ni kweli, kuna mambo ambayo ni ya msingi sana lakini sisi Watanzania tulio wengi huwa tunapuuza na kutokuyapa kipaumbele! Na kwa sababu hivyo tunajikosesha fursa sana! Niliwahi kuwa nalipwa kupitia profile yangu ya LinkedIn kwa miezi mitatu bila kufanya kitu! Yaani ilikuwa kila ndani ya siku tatu kuna tangazo linarushwa kwenye profile yangu na kwa kila siku tangazo hilo linapokuwa limerushwa na kuwa kwenye ukurasa wangu nalipwa $30! Kigezo kimojawapo ilikuwa ni profile yangu ilivyo na pia niwe na audience (followers) angalau 4,500 ambapo mimi nilikuwa na zaidi ya 6,500!
 
Back
Top Bottom