SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 829
- 1,565
Halafu sio T502, ni T528 😂Mimi sillent killer 2 ni mwana JF pekee ninae tumia simu kitochi kuperuzi jamiiforum.hata wakati jf ilipofungiwa nilikuwa naperuzi bila shida yoyote lakn kuna jamaa angu mmoja mpaka atumie vpn ndo aperuzi..Tema aina ya simu ni tecno masai kama mnazifahamu TECNO 502 ...?
Opera browserUnatumia browser gani ktk hicho kitochi?
Opera ni browser ambayo ina VPN mkuu, japo huwezi ona ile alama ya VPN juu kwenye notification bar ya simu.Opera browser
Ndio mkuu Leo zimefunguliwa.Vincenzo Jr hivi shule zimeshafunguliwa ?
Naona huyu kesho atakuwa yupo shuleniVincenzo Jr hivi shule zimeshafunguliwa ?
Muende mkasome , simu tumewanunulia kwa sababu ya kujielimisha sawaaaa?Ndio mkuu Leo zimefunguliwa.
Mimi ni memkwa!
Natumia browser operamini na kwenye search engine natumia google...?Unatumia browser gani ktk hicho kitochi?
Natumia browser operamini na kwenye search engine natumia google...?Unatumia browser gani ktk hicho kitochi?
Kwani na wwe unatumia auUmejuaje kama upo peke yako?
HahaVincenzo Jr hivi shule zimeshafunguliwa ?
Kwani nawewe mkuu bdo au ndo memkwa au elimu ya watu wazima...?Vincenzo Jr hivi shule zimeshafunguliwa ?
Chimpumu ndo nini mkuu..?Bila shaka umeonja chimpumu.