A agsam878 Member Joined Dec 21, 2013 Posts 22 Reaction score 10 Jan 4, 2014 #1 Inasemekana karatasi mwisho wa kukunja ni mara7 Alie thibitisha hilo
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,557 Reaction score 28,433 Jan 4, 2014 #2 duh, kwa aliyeelewa atueleweshe na sie div.5 Jamani!!
mchagahalisi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 619 Reaction score 364 Jan 4, 2014 #3 Weka picha
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 4, 2014 #4 hilo sijuwi
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Jan 4, 2014 #6 unataka aliyethibitisha...? wakati wewe Ndio unatuambia .....
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Jan 4, 2014 #7 Nikikunja mara nane ntakua nimevunja rekodi na ntaingia kwenye guiness?
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,714 Jan 4, 2014 #8 karatasi ya ukubwa gani? Mbona unakua kilaza hivyo