Sio kweli kuwa panya akila sumu lazima afe. Jisahihishe mkuuNamba 1 kumbe ndio maana panya akila sumu tu lazima afe
Namba 2 sijaielewa vizuri sababu nyoka na wembamba wake akilala miaka 3 mfululizo lazima akauke kama fimbo kavu π€
Nyoka hawana masikio ya nje kama wanadamu, lakini wanaweza kusikia kwa njia ya tofauti, mtetemo wa ardhini (vibrations), masikio ya ndani (inner ears) yanayoweza kusikia sauti za chini sana (low-frequency sounds), hasa zile za chini ya 1,000 HzNyoka hawasikii.π
Nina maana kwamba akila sumu yenye uwezo wa kumuua hatoweza kupona tofauti na mwanadamu ambaye anaweza kula sumu ya kumuua lakini anapona kwa sababu akitapika anaongeza asilimia kubwa za kuponaSio kweli kuwa panya akila sumu lazima afe. Jisahihishe mkuu
Kumbe ndio maana wanashambulia sana washenzi hawaπMbu wana meno 47.π¦·
Ndio maana wanaumwa na nyoka wengi wanakua wanatembea au umemkanyaga kwakua anatumia hisia na sikusikia zile hisia ndio zinamfanya atoe sumu kwakua anajua ww ni adui,they are born to kill-Panya Hawezi Kutapika.π
-Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.π
-Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.π
-Twiga hawawezi kuogelea.π¦
-Nyoka hawasikii.π
-Mchwa hawawezi kulala.π
-Hedgehog hawazami majini.π¦
-Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.π»
-Nzi wana macho 5.π¦
-Pomboo hulala na jicho moja wazi.π
-Ngamia wana nyusi 3.π
-Tembo ndiye mamalia pekee asiyeweza kuruka.π
Ni kweli nyoka hawasikii. Wanatumia matumbo yao kuhisi movements kutoka kwa maadui wao na wanauwezo wa kuhisi mtu yuko wapi umbali wa ubungo na tabata.-Panya Hawezi Kutapika.π
-Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.π
-Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.π
-Twiga hawawezi kuogelea.π¦
-Nyoka hawasikii.π
-Mchwa hawawezi kulala.π
-Hedgehog hawazami majini.π¦
-Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.π»
-Nzi wana macho 5.π¦
-Pomboo hulala na jicho moja wazi.π
-Ngamia wana nyusi 3.π
-Tembo ndiye mamalia pekee asiyeweza kuruka.π
Hapana unamjuwa Taa au kitaa aliemuuwa Stive wa Australia??Samaki hawezi kurudi rivasi
Na yale unayofuga jee-Panya Hawezi Kutapika.π
-Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.π
-Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.π
-Twiga hawawezi kuogelea.π¦
-Nyoka hawasikii.π
-Mchwa hawawezi kulala.π
-Hedgehog hawazami majini.π¦
-Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.π»
-Nzi wana macho 5.π¦
-Pomboo hulala na jicho moja wazi.π
-Ngamia wana nyusi 3.π
-Tembo ndiye mamalia pekee asiyeweza kuruka.π