Je wajua Google Blogs zaweza kutumika kama marketing tools???

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Habari ndugu zangu wanaJF... Wengi wetu tumekua tukitumia google blogs, zile zenye extension ya .blogspot.com kwa ajili ya kupost habari na taarifa mbalimbali. Nimekuja kugundua kua izo blogs zinaweza kutumika kama marketing tools, kwa wale wanaofanya online marketing au email marketing watakua wananielewa nachomaanisha. Kuna kitu kinaitwa Landing Pages(Sales Pages), hutumika kutangaza bidhaa yako na mtu anapata uwezo wa kununua, pia zingine zinaitwa squeeze pages, hizi zinakua hazina maelezo mengi sana kama landing pages, na za mwisho ni opt in form, zenyewe zinatumika kama unataka kutengeneza mailing list, unatoa kitu for free then unatengeneza email database. Watu wengi hutumia wordpress kutengeneza hizi pages, lakini nimekuja kurealize kua hata blogger(google blogs) unaweza kutengenezea. Na kama tunavyofaham kurun google blogs ni nafuu tofauti na wordpress.

Mifano ya hizo pages ni

Landing Page(Sales Pages)

Squeeze Page

Opt-in form

Pitia iyo mifano hapo juu ndio utaelewa nilichukua nazungumzia......
 
hizi zinakuwaje zaidi maana hata nilipoangalia hiyo link sijaelewa na hii ni kutokana nakutokuwa na idea ya landing pages unaweza nipa mfano mwengine samahani kwa usumbufu lakini..
 
Mkuu landing page, kwa watu wanaofanya online marketing wanazitumia kutangaza bidhaa mpya kwa wateja wao.. Unakua na bidhaa yako kisha unawatumia wateja wako link ya hiyo landing page na yeye anasoma faida za iyo product akiwa interested kuna kua na sehem ya kufanya malipo au maelezo zaidi.. Tofauti yake na webpages zingine ni kua yenyewe inabeba taarifa ya kitu kimoja tu na kuna kua hakuna links au taarifa za vitu vingine... Pia inawezekana unataka kucollect emails za client wako, unachofanya unatoa kitu chochote for free ila ili mtu aweze kuipata anaacha jina, email na namba ya simu, ili wakati utakapokua na bidhaa nyingine inakua rahisi kufanya follow up... Angalia mfano mwingine wa landing pages hapa chini

Fikra Za tajiri

Free Book

E-Commerce Workshop

Nadhani kwa maelezo hayo ni hiyo mifano utakua umenielewa japo kidogo... Kama bado nipo tayari kukueleza zaidi
 
thanks mkuu umenipa mwanga wa hiyo kitu aisee asante sana..
 
Back
Top Bottom