Je, wajua gharama ya umeme unapo chaji simu kwa mwaka?

Sikujua exact price ya unit moja.
So nikafanya hesabu based on zile unit 28.2 tunazopata kwa kulipia Tshs 10,000/- .

Bila shaka jibu langu la sh. 277 halikuwa mbali sana na sh. 292 uliyoandika.
Kwahio kama unapata unit 28.2 kwa Tshs 10,000/=; yaani unit 14.1 kwa 5,000/= huoni hapo kila unit inasimamia kwenye 354.6 au hesabu imabadilika tangia nimalize shule ?
 
Toa 22% za makato na wewe si ujiongeze.?
Hapo ni bei ya umeme kama umeme ndo imefanyiwa hesabu.
 
kwani hiyo miganyo ya rea, ewura ,tra si unaipata kwenye hio 279 kivip tena 2044 uigawe sijui rea,ewura tra
ngoja niende kivingine tutaelewana tu
10,000 units 28.2
5,000 units 14.1
2500 units 7.05

Hizo Vat (Value added Tax) inapigwa kwenye jumla ya manunuzi yaani hio 2,044 baada ya ( 292 x 7units)
 
kuna binadamu ambaye halipi makato hapa Tanzania ; unless unatumia umeme under 75 units ambapo hapo kila unit ni tshs 100 kama sikosei
Kwani tunabishana nini hapa mkuu?
Mi nimeweka hesabu zangu na kukadiria kwamba gharama ziko around 2000 (kabla ya makato).. wewe unasuggest kwamba ni sh. 2411na makato involved. Sasa hiyo mia nne ndo tunabishania au kuna tatizo wapi?
 
upo sahihi
 
sasa Hapo si Kuna watu matumizi yao yanakuwa chini ya Dollar 1 kwa kutumia hiyo 100 ukizidisha kwa 7kwh
 
umekuta mjadala unaendelea kuanzia mwanzo nilimuuliza huyu jamaa cost sio chini ya dollar moja kwa mwaka kwa niaba ya hesabu zake.... hata ingekuwa sumni mkuu katika technicality tungeibishania
 
sasa Hapo si Kuna watu matumizi yao yanakuwa chini ya Dollar 1 kwa kutumia hiyo 100 ukizidisha kwa 7kwh
Ha ha ha haaa unaanza kuhamisha magoli mkuu.., haukusema kuna watu, ulisema watu.., tukiongelea kuna watu Bibi yangu alikuwa na Solar yeye alikuwa halipi hata sumni...
 
bado nipo sahihi mkuu unacho jichaganya Ni kuganya hiyo 2044 kitu ambacho si sahihi
 
Back
Top Bottom