Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,550
- 1,422
Habari za jumapili hii wakuu,Huu ni mwaka wa pili naelekea kumaliza deni la mysol.
Binafsi niliamua kununua mtambo huu baada ya changamoto ya umeme wakati huo nahamia kwenye kibanda changu.
Lengo la uzi huu ni kubadilishana uzoefu juu ya mitamboo hii,moja ya vitu ambavyo naona wamefaulu hawa jamaa ni kama vile:mtambo kuwa na circuit breaker ambapo hujizima ikitokea tatizo.
Jambo lingine nimependa ni mtambo kuwa na netwek inawawezesha kuona matumizi yako ya umeme kama chaji ni ndogo wanakutumia ujumbe pia ikijaa wanakupongeza
NB:Nataka kujua uimara wa hii mitambo,je kuna jambo gani labda limejificha au kwa waliotumia muda mrefu je warranty yake yaweza kuwa miaka mingapi?