Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.
Usije ukamlinganisha mjerumani hata siku moja na mchina mmarekani mwenyewe kaiga teknolojia toka ujerumaniSema umependa tu usitake kuleta mambo mengine kuna mwingine aliyependa Mzungu wake wa USA atesema hivyo hivyo, mwingine kazimia kwa Mjapani atasema pia kama wewe kuna mwingine kafa kazikwa kwa Mchina, ni nguvu ya mapenzi tu inakusukuma!
😀 😀 😀Sema umependa tu usitake kuleta mambo mengine kuna mwingine aliyependa Mzungu wake wa USA atesema hivyo hivyo, mwingine kazimia kwa Mjapani atasema pia kama wewe kuna mwingine kafa kazikwa kwa Mchina, ni nguvu ya mapenzi tu inakusukuma!
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.[/QUOTE
HAO NI WATU WA KAWAIDA KAMA WAMASAI TU,
USITISHIKE BINAADAMU WOTE NI SAWA.
Usije ukamlinganisha mjerumani hata siku moja na mchina mmarekani mwenyewe kaiga teknolojia toka ujerumani
Ndiyo maana nikasema ni swala la mahaba tu, kipendacho roho!
Ukweli ni nini? Ukweli ni relative!
Na mjerumani kaiga kwa muingereza unakumbuka London Exhibition!Usije ukamlinganisha mjerumani hata siku moja na mchina mmarekani mwenyewe kaiga teknolojia toka ujerumani
Ukweli sio Relative, ukweli ni uhalisia, ukweli ni ndivyo ilivyo
Ukisema raisi wa sasa wa Tanzania ni Magufuli huo ni ukweli na wala haiwezi kuwa tofauti mpaka useme relative
Nimekwambia una mahaba tu hkn kingine, ukiongea na Msenegali au sijui Ivory Coast atakwambia France ni grand national, na ndiyo alpha na Omega, ukiongea na Mkenya atakwambia English man ni second to God n.k. ni mahaba tu!
Ukweli utabaki kuwa ukweli kaka, fact haina mbadala na wala sio relative
Ukweli utabaki kuwa ukweli kaka, fact haina mbadala na wala sio relative
Lkn kiteknolojia wapo nyuma ya China, USA, RussiaUsije ukamlinganisha mjerumani hata siku moja na mchina mmarekani mwenyewe kaiga teknolojia toka ujerumani
Acha mambo yako USA tekLkn kiteknolojia wapo nyuma ya China, USA, Russia