Je, wafanyakazi wa NMB hawajalipwa mshahara?

Sonship

Senior Member
Apr 13, 2021
147
215
Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound.

Maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema ijumaa Wanalipwa Mishahara so wakishalipwa.

Tu ananitumia pesa yangu cha ajabu mpaka leo Kimya. Naomba kuuliza je ni kweli Mpaka leo mshahara wao haujaingia au Ndo naanza kupigwa kalenda tena?
 
Mkuu nakishauri umdai kesho mambo yatakuwa tayari
 
Sikh hizi hali ya uchumi ngumu uaimkopeshe mtu hela bila bila mdaiwa kuweka dhamana mali yake utalia aisee !!? Mm hapa nilipo nina pikipiki na sabwufa wenyewe wame zisusa hawaji kulipa
 
Huyo mtu wa NMB amekujaje kukukopa ropo ropo na masikini kama ww ...!!???
hakika alipotea njia manake laki mbili hela ya beer umemuanzishia mtu uzi....
na hata mwezi haujaisha bado!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…