Je, Wachaga wamenyanga'nywa CHADEMA yao?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,261
Reaction score
4,443
Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.

Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.

Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,

Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.

Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?

Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.

Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
 
Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.

Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga.Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.

Harakati zz wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,

Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea,Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.

Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine?Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?

Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo na wengine wengi.

Haahaa kukisema hapa wanasema wanatukanwa wafuasi wa mbowe, haahaa ukweli umeonekana lakini
 
Wanachama wote wana haki ya kusikilizwa bila kujali kabila lao. Kitendo cha wachaga kufutwa uanachama kwenye matawi hakikuwa sahihi. Uongozi wa chama ngazi za juu ulipaswa kuingilia kati kabla hali haijawa mbaya.
 
Ni ubinafsi tu umetujaa watu wa kaskazini lkn chadema n chama Cha WATANZANIA wt na kipo Kwaajili ya watz wt ....

Na Bora mnyaturu lisu kawa mwenyeketi Ili kuletaa mabadiliko zaidii..

Mwambie ndugu yetu mbowee harizikee na alichokivunaa miaka yt atulizee kipururu uko ..
 
Ulisikia kuna mtu alilalamika kufutwa kwenye tawi?
Sasa yule mwkiti wa Dodoma alikuwa anaongea nn?????
 
Siasa ni maisha. Wanawake wa chadema wanaamini kuwa hata chama kikikosa kiti cha ubunge kimoja,uhakika wa viti maalum upo. Chadema walivyosusa kusaini wameona watoke nduki ili kujihakikishia maisha sehemu nyingine . Wanaume wanaohama Wana hesabu zao wanazozijua wao
 
Ni ubinafsi tu umetujaa watu wa kaskazini lkn chadema n chama Cha WATANZANIA wt na kipo Kwaajili ya watz wt ....

Na Bora mnyaturu lisu kawa mwenyeketi Ili kuletaa mabadiliko zaidii..

Mwambie ndugu yetu mbowee harizikee na alichokivunaa miaka yt atulizee kipururu uko ..
Watu wana generalize sana vitu. Sisi ni wa kaskazini na ni CDM damu damu na tupo na Lissu.

CDM sio chama cha wachagga ni chama cha kila mwananchi mpenda haki na maendeleo.
 
Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.

Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga.Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.

Harakati zz wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,

Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea,Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.

Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine?Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?

Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo na wengine wengi.

Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Mchaga hajawahi kuwa tayari kuwa chini ya mtu baki kwa jambo linalohusu pesa.Hata ikitokea mchaga akashinda nafasi yeyote afu akapewa pesa yupo tayari kuiachia.Hawa jamaa wanaabudu pesa hatari
 
Back
Top Bottom