Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Hakuna kificho tena. Kwa sasa hapa nchini tuna janga la uraibu wa madawa ya kulevya linaloteketeza kwa kasi nguvu kazi ya taifa hasa vijana.
Ilizoeleka kuona vijana maskini tu ndio wahanga wakubwa wa janga hili huko mitaani, lakini kwa sasa kila kukicha tunashuhudia hata wasanii na watu mashuhuri nchini wakipukutika kwa kasi. Mifano ipo.
Ni lazima tufikie hatua tujiulize, vita hii imetuzidi nguvu? Kama ndiyo, kwanini? Au tubadili mbinu za vita? Tufanyeje?
Nawakumbusha wazazi, chungeni sana watoto wenu. Serikali nayo iongeze bidii kwenye mapambano.
Hali inatisha!
===========
JAMII LEO