Je, vita dhidi ya Madawa ya Kulevya imetuzidi nguvu?!

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,432
7,055
Hakuna kificho tena. Kwa sasa hapa nchini tuna janga la uraibu wa madawa ya kulevya linaloteketeza kwa kasi nguvu kazi ya taifa hasa vijana.

Ilizoeleka kuona vijana maskini tu ndio wahanga wakubwa wa janga hili huko mitaani, lakini kwa sasa kila kukicha tunashuhudia hata wasanii na watu mashuhuri nchini wakipukutika kwa kasi. Mifano ipo.

Ni lazima tufikie hatua tujiulize, vita hii imetuzidi nguvu? Kama ndiyo, kwanini? Au tubadili mbinu za vita? Tufanyeje?

Nawakumbusha wazazi, chungeni sana watoto wenu. Serikali nayo iongeze bidii kwenye mapambano.

Hali inatisha!
===========

JAMII LEO

Kwakweli hili suala ni nyeti,..... sijaona kama awamu hii wanashida nalo kabisa. Hata kamatakamata hatusikii tena.
 
Mwigulu mliona alivyokuwa analia lia juzi?
Yaani utadhani jamaa mkenya na mwanae kaathiriwa na madawa sasa anailalamikia serikali.
Kumbe ndiye waziri mwenye dhamana.
 
Hamna KIONGOZI anaeweza kupambana na wauza madawa ya KULEVYA!!

Kupambana na Wauza madawa ya kulevya siyo sawa na kupambana na maofisa wa Bandari au wakwepa kodi!

Wauza madawa ni TAASISI kubwa sana duniani! Ukiwagusa huchukui raundi wanakumaliza

Marekani walikuwa wanazunguka na ndege za jeshi mipakani mwa MEXICO ila madawa yanapitishwa

Madawa yanatoka bara la Asia yanapitishwa Tanzania ndiyo yanapelekwa nchi nyingine jiulize yanapitia wapi,

Kila mzazi au na jukumu la kutoa elimu kwa mtoto wake kuhusu haya madawa
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.
 
I wish siku moja uonje pia SUMU YA PANYA ili ujue panya anajisikiaje anapoila.
 
Google kwanza usome madhara yake. .ni highly addictive ndugu yangu. ..walionza walifanya hivyo hivyo kama wewe kwa tani. ..take care. .
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.

Mkuu umeshatengeneza addiction plan kichwa I kwako so once ukionja unga ita triggger the plan. Chiddy Benz atakuwa ni kichuguu, wewe mlima! Then utakuwa Bad People
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.
huJawahai kuvuta cha chuga wewe lazima ungesizi.ulivuta pushabu la morogoro kaka
f3d338d87ea6fcc54505ea4f5a5ba0a3.jpg
 
Hamna KIONGOZI anaeweza kupambana na wauza madawa ya KULEVYA!!

Kupambana na Wauza madawa ya kulevya siyo sawa na kupambana na maofisa wa Bandari au wakwepa kodi!

Wauza madawa ni TAASISI kubwa sana duniani! Ukiwagusa huchukui raundi wanakumaliza

Marekani walikuwa wanazunguka na ndege za jeshi mipakani mwa MEXICO ila madawa yanapitishwa

Madawa yanatoka bara la Asia yanapitishwa Tanzania ndiyo yanapelekwa nchi nyingine jiulize yanapitia wapi,

Kila mzazi au na jukumu la kutoa elimu kwa mtoto wake kuhusu haya madawa

Tena na picha za watumiaji kabla na baada
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.
Kwenye swala la madawa ya kulevya hamnaga kichwa ngumu hata siku moja ukipotea usije kulalama kama wenzako wakima benzino
 
Taifa lipo kwenye mpasuko mkubwa upotevu wa vijana ni upotevu wa nguvu kazi ya taifa tunaitaji kupambana nayo hata wazazi na serikali kwa ujumla
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.
Gari ikishawashwa na iko ktk mteremko mkali na iko free hiyo sasa kusimamia ni kudra ya Mwenyezi Mungu na hiyo ndiyo Narcotics Heroin au cocaine take care tester
 
Hivi ni kweli hivi vitu vina raha au? Honestly

Nilitaka kuona wanaovuta Sigara wanapata raha gani I bought 3 Cigarates nikavuta hata Sikusikia chochote Siku moja nikanunu 2 nikanywa na Pombe sikusikia chochote.

DAY 3: nikajaribu what makes Bangi/weed kua Popular na Story Kibao nilinunua Msokoto mmoja nikavuta na nilikua nimesikia some reactions zake so baada ya kunywa Supu na Chapati na Maji nilijifungia chumbani kwangu nikavuta aisee siku hisi chochote.

DAY 4: Nilinunua Misokoto 2 nikavuta yote as previous day kitu nilichohisi ni Kichwa kiliniuma nikameza Diclofenac kikapoa sikuona hata raha yake nawashangaa wanaotunga maneno kua ina raha (Bangi is Overrated).

DAY 5 from Now nitajaribu Kununua kete moja ya Narcotics/heroine nijue na yenyewe ikoje ina raha gani na Update nitaleta hapa hapa.

Warning Mimi ni Kichwa ngumu nimefanya research ambazo ni Contravential and I never carried away by those attempts next I will try Unga nione unawasukumaje vijana kutumbukia huko.
wewe unafaa.
 
mtu yoyote anayesimama na kuilaumu serikali juu ya hili nitamuona mpumbavu kwakuwa hawa watu tunaishi nao sisi mitaani kwetu,majumbani kwetu lakini tunashindwa kutimiza wajibu wakuwashauri badala yake tunaitupia lawama serikali ni upuuzi..kila mtu asimame katika nafasi yake....kila mtu atimize wajibu wake...
 
Back
Top Bottom