Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Kuliwahi Kuwa na Kesi Mahakama Kuu, Ambayo Jamaa Ni Muislam ali-oath Badala ya Ku-affirmKuapa sio tatizo ila tatizo ni pale unapoenda kinyume na Kiapo ulichoapa
Duuh "mkarimani" hayaaa toa "r" weka "l"!Wakihapa au wakiapa bwana mkarimani
Affirmation ni secular naona alikuwa sawa kama alikuwa anazingatia kiapo chakeKuliwahi Kuwa na Kesi Mahakama Kuu, Ambayo Jamaa Ni Muislam ali-oath Badala ya Ku-affirm
KabisaWakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa ""wakiapa"" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali wanathibitisha, Je Viapo Vyao Viko Sahihi Kisheria??
Balaaaaaaaaa tupu MrMama Samia alishiriki mazish ya bwana john wapi kulee chatooo.je wanawake wa kiislam wanaruhusiwa kuzika siku hizi
Hueleweki.Wakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa ""wakiapa"" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali wanathibitisha, Je Viapo Vyao Viko Sahihi Kisheria??
😂😂Wew nunua dagaa pika na ugali wako kisha jaza tumbo lako halafu kimbia ukalale.. Acha kuja kutuuliza maswali ya kitoto wakati wenzako wanakula kiapo na maisha yanabadilika hapo hapo...