Je, viapo vya Wateule wa Rais ambao ni Waislamu ni sahihi?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa "wakiapa" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali wanathibitisha.

Je, Viapo Vyao Viko Sahihi Kisheria?
 
SWEAR & AFFIRM.....haina tatizo vyote ni viapo kwa muktadha wa Islam na wakristo. ..
 
Mama Samia alishiriki mazish ya bwana john wapi kulee chatooo.je wanawake wa kiislam wanaruhusiwa kuzika siku hizi
 
Wakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa ""wakiapa"" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali wanathibitisha, Je Viapo Vyao Viko Sahihi Kisheria??
Kabisa
 
Wakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa ""wakiapa"" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali wanathibitisha, Je Viapo Vyao Viko Sahihi Kisheria??
Hueleweki.

"Kuapa"

"Kuthibitisha"

Maana zake ni zipi?

Kwa nini wanaapa?

Wanathibitisha nini?

All in All - "waape au wathibitishe", makes no difference in their performance.

That's simply a meaningless ritual.
 
Sio sawa kisheria Waislam wanathibitisha na wakristo wanathibitisha.
Muislam anaanza na maneno Wallah wabillah watallah mimi Mpare mweusi nathibitisha......
Mkiristo anaanza kwa kusema
Mimi Msukuma mrefu naapa....
Msingi wake ni kuwa muislam hawez kuapa mbele ya binadam mwenzake
Bali anathibitisha muislam anakula kiapo kwa Allah
 
Kiapo akina maana asee,mtu anaapa na bado anaiba?
Embu fikiria lile nyomi la Lisu kweli ni la Lisu kupata kura milioni moja na ushehe!
Yani kura za Lisu ukizigeuza kuwa pesa hazinunui hata nyumba Buza kwa mpalange
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom