Je utoaji mimba ndio suluhisho?

Je utoaji mimba ndio suluhisho?

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Mara nyingi mi naweza kusema huwa tunajitafutia laana zisizo na sababu na hii inatokana na tamaa za kimapenzi, unakuta mtoto wa miaka 16, 17 anafanya mapenzi na kipindi hicho bado ni mwanafunzi alafu akipata mimba anaenda kutoa.

Mmama mzima anayejielewa anatoka nje ya ndoa (anachepuka) akipata mimba anaamua kunywa madawa ya kuifanya mimba itoke kwa kuhofia kuwa yule mtoto anaweza kufanana na yule mchepuko wake hivyo kumsababishia matatizo kwa mumewe.

Sasa mimi najiuliza, wakati unafanya mapenzi ulifikiri huna kizazi, au ulifikiri huyo mwanaume hawezi kukupa mimba
na je hakuna njia nyingine mbadala unayoweza kutumia zaidi ya kutoa mimba.
 
laana ni wewe unamtia mtu bila kondomu afu unashangaa yeye kubeba mimba .....kwanini ulale nao kama hutaki kuitwa baba
 
nalala nae ili kuenjoy2 na si nia yangu kuitwa baba je yeye hazielewi siku zake?
 
laana ni wewe unamtia mtu bila kondomu afu unashangaa yeye kubeba mimba .....kwanini ulale nao kama hutaki kuitwa baba

mm nakutafuta ww ili tule raha ya siku moja au mbili.. Ww ndio unazijua siku zako za hatar, ww ndio unajijua upo ktk wakat gani aidha kimasomo au kwenye ndoa.
Kwann unaniletea siku ambazo unajua ni za hatar?

Suala la kondom %kubwa ya wanawake ndio wanazikataa.

Sasa mm nifanyeje mkuu.
Ukisema kukojolea nje, ni rahisi sana kutoka dar mpaka dodoma kwa mguu lakn sio kukojolea nje
 
Ahsantee,
 
ha ha ha unalala nae kuenjoy kwa agreement ipi????

ulipomtongoza hukumwambia ni nyt stand or just for fun or tuna future
unampenda yeye kajiachia kubebe mimba ili mpendane zaid,,,umekaa nae six month kwa wiiki unapeleka gegdo mara kadhaa yy asipate mimba atkuwa tasa labda

tongozeni na muwe na open relationship
like sio future,nyt stand,just for fun hiyo sex
 
mkuu ICHANA hivi leo mm nmekutongoza na sijakutamkia ndoa iweje ujiweke waz mpaka kupata mimba?

Sio kila mahusiano mwisho wake ni ndoa mengne ni kuburudishana tu, nafkir unalijua fika hilo ila unaleta ubishi kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke Ndo Unatakiwa Ujirinde Dhidi Ya Mimba Kabla Haujaingia Kwenye Maisha Ya Ndoa Kuna Mbinu Nyingi Za Kuzuia Mimba Bila Yakutumia Dawa Za Hospitali,madada Msijibweteshe Sana Kuruhusu Mimba Zisizo Na Mpango
 
ha ha ha unalala nae kuenjoy kwa agreement ipi????

ulipomtongoza hukumwambia ni nyt stand or just for fun or tuna future
unampenda yeye kajiachia kubebe mimba ili mpendane zaid,,,umekaa nae six month kwa wiiki unapeleka gegdo mara kadhaa yy asipate mimba atkuwa tasa labda

tongozeni na muwe na open relationship
like sio future,nyt stand,just for fun hiyo sex

wengi wa watanzania akili zao fupi, na ndo mana wengi wao wanazaa mpaka watoto 10,

kufanya tendo la ndoa haimaanishi lazima upate mtoto, ila mda mwingine unatakiwa ufanye kwa hamu tu, so ukijiona upo kwenye siku zako sio lazima ufanye unakausha2.
 
mkuu ICHANA hivi leo mm nmekutongoza na sijakutamkia ndoa iweje ujiweke waz mpaka kupata mimba?

Sio kila mahusiano mwisho wake ni ndoa mengne ni kuburudishana tu, nafkir unalijua fika hilo ila unaleta ubishi kidogo

yah ni kweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha hili nalijua na sitegemei lazima mahusiano yawe ya ndoa .......
wengi wenu mnatoa ahadi hewa ndo mana wanaamua kuwabebea mimba zenu bila kupanga

mkuu ICHANA hivi leo mm nmekutongoza na sijakutamkia ndoa iweje ujiweke waz mpaka kupata mimba?

Sio kila mahusiano mwisho wake ni ndoa mengne ni kuburudishana tu, nafkir unalijua fika hilo ila unaleta ubishi kidogo
 
laana ni wewe unamtia mtu bila kondomu afu unashangaa yeye kubeba mimba .....kwanini ulale nao kama hutaki kuitwa baba

Habar ya jioni ndugu miss you kinyamaaa pole na majukumu
 
ha ha ha ha hili nalijua na sitegemei lazima mahusiano yawe ya ndoa .......
wengi wenu mnatoa ahadi hewa ndo mana wanaamua kuwabebea mimba zenu bila kupanga

ukimwambia tutumie condoms anakwambia ohhh, ntachelewa kufika.
Basi tufate kalenda, mnakubaliana. Anakuja siku za hatari anakwambia ntamwagia nje, nawe unakubali kishingo upande maskini ya Mungu.
Kesho, kesho kutwa mambo yamejibu anajifanya sikupanga.
Nya.mbaff zao kabisa hivi vifulana.
A real gentleman anastick kwa akitakacho na hata kwenye matatizo atasimama kutetea maamuzi yake.
 
naona watu mnaenda nje ya mada......kama kichwa cha habari kinavyosema kutoa mimba ndiyo suluhisho....?....kwahiyo tujadili hilo.....
 
Kweli kabisa hayo najibu ya wavula, kwa wanaume wanaojielewa hawana hayo majibu ya kitoto. They are cowards
 
ukimwambia tutumie condoms anakwambia ohhh, ntachelewa kufika.
Basi tufate kalenda, mnakubaliana. Anakuja siku za hatari anakwambia ntamwagia nje, nawe unakubali kishingo upande maskini ya Mungu.
Kesho, kesho kutwa mambo yamejibu anajifanya sikupanga.
Nya.mbaff zao kabisa hivi vifulana.
A real gentleman anastick kwa akitakacho na hata kwenye matatizo atasimama kutetea maamuzi yake.

sijaielewa comment yako shehke.
 
naona watu mnaenda nje ya mada......kama kichwa cha habari kinavyosema kutoa mimba ndiyo suluhisho....?....kwahiyo tujadili hilo.....

nadhani dada angu ndo kanielewa vizuri.
 
Back
Top Bottom