Ooh nayosema yana maanaa
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabanaa
ila ameificha ni confidential
Maana rafiki wa jana
aaah
ndioo adui mkubwa wa keshoooooooo........
La la la la la laaaaa
au je utanipendagaa?
Ameharibu tuu kuweka kipande cha kumpromote daktari wake uchwara Juma Mwaka