Je, utamwita huyu Rais mwizi?

Je, utamwita huyu Rais mwizi?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wanajamvi wenzangu,
Huyu Mh. aliye kushoto ni Rais wa Jamhuri ya watu Czech, alifanya ziara nchini Chile wiki kadhaa zilizopita. Angalia hii video kwa makini uone alichofanya mbele ya waandishi wa habari.
Toa maoni yako kuhusu hicho kitendo kama yuko eligible kuitwa mwizi.
Karibu.


 
Last edited by a moderator:
Hahaha huyu baba kiboko anaweza iba hata kijiko mezani lol hivi alidhani hizo camera za waandishi hazimuoni au hahahhahh:love:
 
Back
Top Bottom