Je Utajuaje Hii?

Je Utajuaje Hii?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,748
Wakuu Tumsifu Yesu Kristu!

sisi wakatoliki kuna kitu kinaitwa Mwaka wa Kanisa.. au Jumapili ya Kadhaa ya Mwaka wa Kanisa je utajuaje Hii ni jumapili namba Fulani ya Mwaka wa Kanisa?

Mfano Jumapili ya Kesho ni Ya Ngapi ya Mwaka wa Kanisa?
 
Ungekuwa Muumini wa Kweli ungelikuwa na Kijitabu kinachoonesha Miaka ya Kanisa.

Nenda Kanisani utakipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom