Je, utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,401
Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yako,ingawa ni vigumu sana kupata marafiki wa kweli kwa sababu wengi ni wanafiki, na utawagundua hasa pale utakapokutana na changamoto za kimaisha. Swali linakuja,Je utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?
  • Mtu anayejisifia sana si mtu mzuri
  • Anayejiona anajua kila kitu si mtu mzuri
  • Muongeaji sana si mtu mzuri
  • Anayependa vyeo sana si mtu mzuri
  • Anayependa sana muda wote kuwa smart si mtu mzuri
  • Anayesifia sana ndugu zake si mtu mzuri
  • Anayependa sana kuwasema wenzake si mtu mzuri
  • Anayependa sana kujionyesha kwa maboss wake au kwa jamii si mtu mzuri
  • Anayependa vya kwake visiliwe ila vya wenzie viliwe si mtu mzuri
  • Anayewacheka au kuwadharau waliofeli katika maisha si mtu mzuri
  • Anayeonekana kipindi cha furaha tu si mtu mzuri n.k
 
Kwa picha hii;hao ni marafiki tangu walipokuwa vijana mpaka kufikia uzeeni
rafiki.jpg
 
Kuna mr x ana sifa karibia zote hapo juu
 
Hivi kwenye maisha kuna michujo mingapi..?
Maana kwa sir god kuna ile michujo(sheria) kumi.
Kwenye mapenzi kuna michujo isiyoeleweka hata idadi huyu anataka uwe hivi mara vile n.k
Kwenye ndoa kuna sheria zake
Kazini pia kuna michujo..
Shule michujo..
Mtaani michujo..
Nchini michujo na usipoitekeleza walahi utaona rungu la Papa mopao a.k.a jiwe linavyokufanya.
Ngono inamichujo..
Urafiki unamichujo..
Nyumbani kunamichujo..
Dah!..
Ndio maana wengine hufa tu bila sababu wanawaachia dunia yenu maana wamechoka wanaona bora lawama kuliko fedhea😂😂
 
Hayo yote ni tabia tu za asili ambazo anaweza kuwa nazo mtu hazina uhusiano na urafiki wa kweli,,,
Ili kumjua rafiki wa kweli angalia rafiki uliyenae ni wa aina ipi
1.a friend for reason
2.for season
3. for lifetime
Marafiki wanaweza kuwa wa Kwel inategemeana na nini kiliwakutanisha unaweza mpoteza rafk wa kweli kwa kudumu na rafiki wanafiki hayo ndo maisha yalivyo hupati unachotaka bali unachostahili maana hata huyo mnafiki ana jambo la kukufunza
 
Kweli mkuu
 
Hivi kwenye maisha kuna michujo mingapi..?
Maana kwa sir god kuna ile michujo(sheria) kumi.
Kwenye mapenzi kuna michujo isiyoeleweka hata idadi huyu anataka uwe hivi mara vile n.k
Kwenye ndoa kuna sheria zake
Kazini pia kuna michujo..
Shule michujo..
Mtaani michujo..
Nchini michujo na usipoitekeleza walahi utaona rungu la Papa mopao a.k.a jiwe linavyokufanya.
Ngono inamichujo..
Urafiki unamichujo..
Nyumbani kunamichujo..
Dah!..
Ndio maana wengine hufa tu bila sababu wanawaachia dunia yenu maana wamechoka wanaona bora lawama kuliko fedhea😂😂
ha ha ha
 
Thank you
Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yako,ingawa ni vigumu sana kupata marafiki wa kweli kwa sababu wengi ni wanafiki, na utawagundua hasa pale utakapokutana na changamoto za kimaisha. Swali linakuja,Je utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?
  • Mtu anayejisifia sana si mtu mzuri
  • Anayejiona anajua kila kitu si mtu mzuri
  • Muongeaji sana si mtu mzuri
  • Anayependa vyeo sana si mtu mzuri
  • Anayependa sana muda wote kuwa smart si mtu mzuri
  • Anayesifia sana ndugu zake si mtu mzuri
  • Anayependa sana kuwasema wenzake si mtu mzuri
  • Anayependa sana kujionyesha kwa maboss wake au kwa jamii si mtu mzuri
  • Anayependa vya kwake visiliwe ila vya wenzie viliwe si mtu mzuri
  • Anayewacheka au kuwadharau waliofeli katika maisha si mtu mzuri
  • Anayeonekana kipindi cha furaha tu si mtu mzuri n.k
Kwa picha hii;hao ni marafiki tangu walipokuwa vijana mpaka kufikia uzeeni
View attachment 1402193

You're the Maker of your own destiny
 
rafiki wa kweli ni mwanamke tu (sio wote)
urafiki wangu na wanaume wenzangu toka utotoni umenifundisha kuwa sisi wanaume asilimia kubwa tuna u snittc sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Urafiki wa kutoka utotoni,utakuja uupime pale itakapotokea kila mmoja ana mji wake(familia) na namna ya uhusiano wenu unavyoendelea.
 
Back
Top Bottom