K Kima mdogo JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 303 Reaction score 46 Oct 25, 2012 #1 Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,673 Oct 25, 2012 #2 kha!!! hapo panakuwaga patamu maana ulishaingia kwenye ndoana.....waje wenye experience mie single siweze sema
kha!!! hapo panakuwaga patamu maana ulishaingia kwenye ndoana.....waje wenye experience mie single siweze sema
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Oct 25, 2012 #3 Nambwaga
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,117 Oct 25, 2012 #4 Na susa tu alafu asira zikiisha narudi gemuni.
mathcom JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,396 Reaction score 519 Oct 25, 2012 #5 Kima mdogo said: Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani? Click to expand... Hiyo kitu ni ngumu sana kuipatia ufumbuzi, hata ukivunja ndoa haitaondoa kinyongo, lakini ukiendelea kuishi nae inazidi kukufanya mnyonge au kuwa na donge, hasa ikiona ada za shule zinazidi kuongezeka na huduma jengine kibao!
Kima mdogo said: Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani? Click to expand... Hiyo kitu ni ngumu sana kuipatia ufumbuzi, hata ukivunja ndoa haitaondoa kinyongo, lakini ukiendelea kuishi nae inazidi kukufanya mnyonge au kuwa na donge, hasa ikiona ada za shule zinazidi kuongezeka na huduma jengine kibao!
N Natalia JF-Expert Member Joined Jul 3, 2011 Posts 4,324 Reaction score 1,898 Oct 25, 2012 #6 Kima mdogo said: Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani? Click to expand... Divorce
Kima mdogo said: Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani? Click to expand... Divorce
Y yuda2 Member Joined Oct 24, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Oct 25, 2012 #7 Kwanza kabisa unatakiwa uweke hasira zako kapuni.
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Oct 25, 2012 #8 yuda2 said: Kwanza kabisa unatakiwa uweke hasira zako kapuni. Click to expand... halafu?