Je utafanyaje?

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani?
 
kha!!! hapo panakuwaga patamu maana ulishaingia kwenye ndoana.....waje wenye experience mie single siweze sema
 
Ukigundua mkeo/mumeo wa ndoa kazaa nje ya ndoa mkiwa tayari mmeshaoana utachukua uamuzi gani?

Hiyo kitu ni ngumu sana kuipatia ufumbuzi, hata ukivunja ndoa haitaondoa kinyongo, lakini ukiendelea kuishi
nae inazidi kukufanya mnyonge au kuwa na donge, hasa ikiona ada za shule zinazidi kuongezeka na huduma jengine
kibao!
 
Back
Top Bottom