Je usingizi wa kwenye dala dala una faida gani?

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??
 
mimi ndi o usiseme, lkn nikiwa sijalal usiku jana yake nitabembea mno, siku moja niliponea chupchup nilimwangukia jirani/abiria nilimgonga kichwa, akataka anibonde, thnx kwa abiria
 
sijui ni ufananishe na nini yote tisa lakini kumi ajali ikitokea huku unabembea mmm!sipati picha.
 
Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??

Ukilala kti daladala ukifika kazini unakuwa fiti, mwili hauna uchovu tena kwa kuwa uchovu umeisha ulipolala garini
 
Nani anakulindia mali zako (Simu, Pesa, Pochi,Mkoba, laptop, etc),
Si unajua hawa jamaa sera yao ni "Abiria chunga Mzigo wako"
na kwenye daladala kuna watu ujihimu asubuhi sana, utafikiri wanaenda kazini kumbe ni vibaka wahitimu.
 
Kwani wewe hujui kisinzia ni kutamu zaidi kuliko kulala?fuatilia utapata jibu.
 
Dawa ya usingizi ni kulala, watu tunakabiliwa na mishe mishe hivyo hatupati muda mzuri wa kulala,unadamka saa 10 alfajiri kwenda kwenye mihangaiko unarudi nyumbani saa4 em pata picha hapo, kuanza maandalizi ya kupata msosi unatakiwa upate muda mzuri wa kupumzika walau masaa ma2 kabila ya kulala tayari ni saa6 hapo, unaingia bedi baada ya masaa ma3 unaamka kujiandaa kwenda mtaani hivyo bakaki ya usingizi unayamalizia kwenye dala dala
 
Ukilamba kilaja uta upata tuu na ukistuka dala dala limefika mbagala na wewe unakaa changombe,kazi kwako.
 
Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??

Ah, ndugu yangu we, wengine waishi mbali zaidi ya 25km,automaticaly mtu anauchapa kishkaji
 
Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??

mim hulala kwenye mabas ya mikoan,,,kama natoka dar ntasinzia hadi kibaha,,,then naanza kuwashangaa wakwere hadi naingia msamvu
 
Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??

KWA MTAZAMO WANGU HIYO NI DALILI YA UVIVU, MAANA UTAKAPOLALA UKIAMKA MWILI UMECHOKA CHOKA SO HATA PERFORMANCE YAKO KAZINI KNAKUWA AFFECTED (This is my View)
 
Back
Top Bottom