Je, usikilizaji wa mashauri CMA DAR umeanza?

BALENSIAGA

JF-Expert Member
Aug 27, 2019
2,655
4,599
Habari zenu wanaJf,

Mimi naomba kuuliza swali kama CMA ya DAR wameanza kusikiliza. Mashauri kwa sababu yaliahirishwa tangu tarehe 14/4.

Naomba majibu kama wameanza kusikiliza mashauri.
 
Nitafuatilia maana nina kesi yangu hapo mpaka tarehe 20 mwezi huu!! mwezi uliopita waliahirisha
 
Back
Top Bottom