Je Usalama wa Taifa ni kina Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Usalama wa Taifa ni kina Nani?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by maishapopote, Nov 4, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Kipindi cha nyuma walikua wakiitwa mashushushu,nowadays wanaitwa usalama,walikua wanaogopeka sana zamani lakini hv sasa tunaishi nao na pia wanajulikana wengi wao,siku hizi hata wengine huwa wanajisifia na kutoa silaha zao kwenye mabaa na sehemu za wazi kwa minajili ya kukuza jina,hebu wadau tusaidiane yafuatayo....
  • Je Muundo wa Usalama wetu wa Taifa Ukoje?
  • Je watu hawa huwa wanapata training za kutosha?
  • Wanachaguliwaje hawa?
  • Je hakuna hatari kwa kutokua na ofisi yoyote ya wazi ambapo kama una information unaweza kuwapa(Angalia C.I.A)
  • Je wako Trained Enough?(Rejea tukio la Mhe.Kupigwa kibao wakiangalia)
  • Je mfumo wao wa uendeshaji hauna upendeleo(Angalia umri wa walinzi wa viongozi wetu na maumbo Yao)
  • Je ni kweli wanaprotect Usalama wa nchi au usalama wa viongozi wetu?
  Hebu wadau tusaidiane kwenye hili...
   
 2. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  tupe unayoyajua ili nasi tuanzie hapo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...