Je! Upo kundi gani kati ya haya?........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Upo kundi gani kati ya haya?...........

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by zumbemkuu, Oct 4, 2010.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Kwenu wana JF!
  Poleni kwa majukumu mazito ya kuelimisha na kuchangia hoja mbali mbali zenye lengo moja tu la kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa taifa letu baada ya uchaguzi mkuu ujao.
  Mchanganuo wangu utajikita kwenye SUMU ya makundi yaliyoanzishwa na CCM tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi. Zaidi kwa CHADEMA na CUF kutokana na kukubalika kwao kwa wananchi.
  Kwa mfano CCM imewagawa wananchi kuwa CHADEMA ni chama cha WACHAGA na ninayo mifano ya walio wengi kuingia kwenye mtego huo, tena wasomi waliokisusia chama eti kwasababu wao wanatoka MBEYA (hapa ni kabla ya Dr. Slaa kutangazwa kugombea.)
  Kama hiyo haitoshi walitumbukiza sumu ya UDINI kwa madai CUF ni kwa WAISLAM na CHADEMA ni chama cha WAKRISTO.
  SWALI LA KUJIULIZA!!! MBONA HAYO HATUYASIKII KWA CCM?? Ni kwa wenye utashi na maarifa ya ufahamu t undo watakao tafakari kwa kina hasa baada ya nchi yetu kuongozwa na SHEKHE ALI HASSAN MWINYI awamu ya pili baada ya Nyerere.

  MAWAZO YANGU​
  Baada ya kundi lenye nguvu ndani ya CCM kuongoza nchi hii tutarajie nini?
  NINAVYOOTA---kundi la wanamtandao linaongozwa na ma’handsomeboys watatu {mkwere, R.A na Rich Of Monduli…….tafakari}
  Utatu huu naufananisha na ule wa wakristo wa “MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO.
  Bilashaka watatu hawa wanakutana kwenye vikao vyao vya SIRI, jiulize nani mwenyekiti wa kikao!!!
  NAINGIA NDANI YA KIKAO CHA THREE BOYS KIMIUJIZA, nakuta jamaa wanagombana na wanafikia conclusion na kuamua kugawana idadi ya WATUMWA wa nchi hii wapatao milioni 40 {40/3} majibu yanatoka na kila Handsome boy anaondoka na wake 13milion, Je wewe utaakungia kwenye kundi la nani? Mimi ntakuwa nimeshakufa kwa kupigwa risasi baada ya kuandamana kutetea Taifa langu.
  Usikatae kuwa mtumwa wa mmoja wa ma’handsome boy hao kama ulishakubali kuwa mtumwa wa makundi ya UDINI, UKABILA na USOMI.
  Jiulize, utaakungukia kundi la MKWERE, R.A au RICH OF MONDULI?

  Hizo ni ndoto tu wajameni, si lazima ujichagulie kundi.
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,477
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  :llama:bora ufe mzee kuliko kuingia kwenye kundi lolote
   
 3. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kundi la kwanza hilo ni UOngo hakuna Uchagga, Uislam au Ukristo,, hiyo ni propaganda ya CCM kugawa wananchi...


  Kundi la Pili hata kwa mbinde siendi.. Heri kundi la kwanza kwani tanzania hakuna udini wala ukabila.....
   
 4. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kundi la kwanza hilo ni UOngo hakuna Uchagga, Uislam au Ukristo,, hiyo ni propaganda ya CCM kugawa wananchi...


  Kundi la Pili hata kwa mbinde siendi.. Heri kundi la kwanza kwani tanzania hakuna udini wala ukabila.....
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mmmh!! mimi simo.
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha!! mie ntaandamana nipigwe virungu.
   
Loading...