Je ungekuwa wewe hii isingekuuma?

Je ungekuwa wewe hii isingekuuma?

Hana adabu huyo na wala siyo vizuri kwa anachokufanyia. Kama anakudharau fulani hivyo kwa kukupokelea simu za wanawake na ukayajua maongezi yao alafu anakupa majibu marahisi marahisi tu. Mshikishe adabu kajisahahu huyo, na usipoangalia atakuumiza sana.
 
Back
Top Bottom