Je ungekuwa wewe hii isingekuuma?

Je ungekuwa wewe hii isingekuuma?

Sheria yangu ni kutoongea na mtu kwenye simu ikifika saa kumi na mbili labda awe Mama, Baba, Wadogo zangu, na Mpenzi. Wengine jumapili tu yatosha
 
Hana adabu kabisa, anawezaje kupokea simu za wanawake hata kama ni wakazini kama maongezi sio yakikazi lazima nipachimbe bila jembe, Hawa watu wanaonaga sisi tuna mioyo ya chuma, huyo wewe mtafutie advertise moja hadi aombe pooo, Amua kujifanya upo bize na simu kuliko kawaida yaani akiita huitiki hadi aite mara tatu ndio unajifanya umeshtuka " abee unaniita?????? " ikibidi kama unarafiki yako wa kike ambae anakupigia sana simu, jaribu uwe unaongea nae as if unaongea na mwanaume, yaani mpenzi, sweet, honey nyingiiiiiii akikuuliza ni nani, unamjibu ini shorti "ni rafiki yangu" alafu unanuna. ila kama anamaguvu hakikisha uwe na helment maana wanaume wengine ni weka mbali na watoto hawataniwi.

Kwa ushauri wenyewe huu, mmh...? Naona moto uwakao unaurushia dumu la petroli...

"Two wrongs don't make a right".
 
Kwa ushauri wenyewe huu, mmh...? Naona moto uwakao unaurushia dumu la petroli...

"Two wrongs don't make a right".

Dawa ya moto ni moto, hapo ndio atajua kama anapendwa au aanze mbele mapemaa, akae anabembeleza ni hela hiyooo kwamba akikosa maisha hayataenda????
 
Anakupenda ila atakuwa ameanza kujisahau. Kama ni kwenye kuota moto basi hachochei kuni tena.

Sasa cha kufanya nipe namba yako niwe nakupigia hadi saa tano za usiku akikuuliza ni nani unamjibu ni baba mmoja hivi wa JamiiForums. Lazima ataomba poo.

Hahahah mwsh wa matatizo
 
Acha wivu wa kiboya...unaumia wakati hujathibitisha?
 
Hahaaaa mi wangu alikuwa anaongea na mfanyakazi mwenzie wa kike mida ya saa nne anaongea hadi robo saa nikimuuliza anasema nilikua na dakika za tigo kwenda tigo nikaona zisiishe bure, loh nilikua nachoka''
 
Mnapenda kubembelezwa hata mkikosea eee!!!!!!! hiyo dhana ya mwanaume ni mwanaume futa kabisa hapa, mwanaume anayejielewa lazima amuheshimu mkewe, unachepuka alafu unajifanya nunda weweeeeee!!!!!!!!! haipo hio. labda kama bidada huyo ni mungu wake ila kama ni binadamu mfyuuuuuuu, Asipo mrusha roho nitamuona mjinga sana, heshima za uoga mwisho mwaka 1990 wakati mandela anatoka jela.

Apologise Lady;
Napiga saluti zangu ka nane hivi kwako. Weye ni kiboko. Ningekuwa na mchepuko ka weye, hata hofu ya kwenda nyumbani asubuhi ingeniisha lwani ningekuomba unisindikize cause naona hata jibu la kumpa mke wangu unalo tiyari. Hii ya mwisho 1990 ni mpya kabisa kwangu. Dah! Basi nimelia poo
 
Tangu jana amenuna kisa...

Muda sasa umepita tangu awe na mawasiliano na wanawake wawili, mmoja ni binti wa miaka 24 ambaye alinitambulisha kuwa ni mtumishi mwenzake anayefanya kazi kwa kujitolea, na mwingine mama wa makamo ambaye ni kiongozi mwenzake katika michezo.

Wanawake hawa wamekuwa wakimpigia simu kila mmoja kwa wakati wake. Kinachonitia shaka na kunipa hisia kuwa labda ni wapenzi wake ni mawasiliano ya mara kwa mara na namna anavyoongea nao.

Mara zote wanapompigia simu hutaka kufahamu mahali alipo na wakati mwingine kumlaumu wanapompigia na kukuta simu yake ipo bize. Huwa nayajua haya kutokana na anavyokuwa anajitetea.

Huwa anapokea simu na kuongea na mimi nikiwepo bila hofu kwani nikimuuliza huyo ni nani hujibu kuwa ni yule binti au wakati mwingine yule mama.

Sasa jana binti kapiga na kumuuliza maswali hayohayo, nikaona bora nimuulize ili aniondoe shaka. Kilichofuata hapo ni kununiwa hadi sasa asubuhi kaondoka bila kuniaga.

Naombeni mnisaidie mawazo. Je ungekuwa wewe isingekuuma ?

hiyo michepuko yake tu. Kaa nae chini umwambie anachofanya sio issue. Au na wewe ulishamletea nyondo ndio na yeye anataka kulipiza kwa namna hiyo
 
Fanya uchunguzi kwanza kabla ya kutoa hukumu
 
Mnapenda kubembelezwa hata mkikosea eee!!!!!!! hiyo dhana ya mwanaume ni mwanaume futa kabisa hapa, mwanaume anayejielewa lazima amuheshimu mkewe, unachepuka alafu unajifanya nunda weweeeeee!!!!!!!!! haipo hio. labda kama bidada huyo ni mungu wake ila kama ni binadamu mfyuuuuuuu, Asipo mrusha roho nitamuona mjinga sana, heshima za uoga mwisho mwaka 1990 wakati mandela anatoka jela.

Sawa but your the one who always cry a liver.

Halafu mbona jamaa hajachepuka na hakuna reasonable doubt hapo just a friend...ni kukaa chini na kuyaongea coz uwezi kushindana na Mimi mwanaume.

The problem of this society is kutokutambua responsibility za each one....siamini kama wewe ndie unayesema haya eti heshima za uoga mwisho 90s
 
Hahahahaha lol! Baba mmoja wa JF kwi kwi kwi huitakii mema hii ndoa weye!

Anakupenda ila atakuwa ameanza kujisahau. Kama ni kwenye kuota moto basi hachochei kuni tena.

Sasa cha kufanya nipe namba yako niwe nakupigia hadi saa tano za usiku akikuuliza ni nani unamjibu ni baba mmoja hivi wa JamiiForums. Lazima ataomba poo.
 
Haka kathread kuna mtu anamwaga povu.... khaaa.!!!
 
Apologise Lady;
Napiga saluti zangu ka nane hivi kwako. Weye ni kiboko. Ningekuwa na mchepuko ka weye, hata hofu ya kwenda nyumbani asubuhi ingeniisha lwani ningekuomba unisindikize cause naona hata jibu la kumpa mke wangu unalo tiyari. Hii ya mwisho 1990 ni mpya kabisa kwangu. Dah! Basi nimelia poo

Sawa but your the one who always cry a liver.

Halafu mbona jamaa hajachepuka na hakuna reasonable doubt hapo just a friend...ni kukaa chini na kuyaongea coz uwezi kushindana na Mimi mwanaume.

The problem of this society is kutokutambua responsibility za each one....siamini kama wewe ndie unayesema haya eti heshima za uoga mwisho 90s

Unajua wakati mwingine tuheshimiane na kuoneana huruma, unapopokea sim ambayo ina doubt ukiulizwa jibu vizuri kiasi chakumridhisha mwenzio, sio kujibu tu kama mwenzio ana roho ya plastic, "ni fulani kwani wewe humjui" tatizo sio kumjua tatizo ni maongezi yenu hayaniridhishi, aisee, sio vizuri, sitaki kusema mengi ila nasisitiza sio vizuri.
 
Back
Top Bottom