Je, ungeanza na nani?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,877
183,932
Habari wadau,

Hebu tutafakari hivi hali itakuwaje ghafla tukipewa uwezo wa kuwafanyia wapenzi factory reset / system restore ya akili na hisia zao ili ziwe kama pale yalipoanza mapenzi.

Je, wewe ungekimbilia kum restore mpenzi wako gani?
 
Back
Top Bottom