Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,754
Nimeishaila mzeeKula tano
Nimeishaila mzeeKula tano
Nenda Mlimani uangalie Cut off point za Kusoma Public Administration ndio ucoment utumbo wako. It is a Giant option in Social Sciences you Shithole.Mtu anaeyeopt kusoma HR mara nyingi ni wale ambao kichwani hayuko poa sana.
UhiiiiiWanapenda sana kusujudiwa na pia kujifanya miungu watu. Siwezi sahau mmoja alienifanya niache kazi serikalini.
Wewe mtumishi wa kada gani?? Mbona hata kiswahili tu kinakushinda kuandika??Hiyo kweli mkuu , nilimtukanaga afisa wetu mtumishi mkuu baadae akawa rafiki yangu ni mtu mzima , sasa cha ajabu msaidizi wake halikuwa ndio ananimind baada ya tukio hilo , kuna siku alichonga barua hili mkurugenzi aisaini ni pewe honyo, bahati nzuri niliipunch
Ila anayesomea ualimu ndo anakuwa kipanga!!Mtu anaeyeopt kusoma HR mara nyingi ni wale ambao kichwani hayuko poa sana.