Je, Unazijua sifa 10 za mke mwema?

Je, Unazijua sifa 10 za mke mwema?

MAJIBU YA HIZO SIFA ZAKO ULIZOWAPA NI KAMA YAFUATAYO:

1. Leo Hii HEKIMA Ya Mkeo Utaijua Kama Una Pesa Ila Ukiwa Huna Tegemea DHARAU.
2. 85% Ya WANAWAKE Wa Leo Ni WAVIVU Kiasi Kwamba Hata CHUPI Zao Tu Wanafuliwa.
3. Hawa Tunaowaoa Leo Usafi Wao Uko Ktk USO Tu Lakini Kule " KUNAKO " Ni Jipu La Kutumbuliwa.
4. Wanawake Wa Leo KUKUPA PENZI Ni Mpaka Roho Mtakatifu Aseme Nae Vingine Utapiga Mno PUNYETO.
5. Wanawake Wa Leo Kupika Hawajui Na Wanaweka Oda Kwingine Ukirudi Unakuta Tu Chakula Mezani.
6. Hawa Tunaowaoa Leo Usipoonyesha Tu WIVU Kwake Utawajibika Kupima DNA Za Wanao Kila Mwaka.
7. Tunaowaoa Leo Hawatishiki Sana Na Mungu ILA Wanawaogopa Na Kuwaabudu Mno WAGANGA Wa Kienyeji.
8. Hawa Tunaowaoa Leo MATUMIZI Yao Yanazidi Hata Ya MALKIA Wa Uingereza Na Usipotimiza Utagongewa Mno.
9. Hawa Tunaowaoa Leo Akijishusha au Kuomba Msamaha Kwako Jua Anataka KUKUPIGA Mzinga Wa Hela.
10. Tunaowaoa Leo 95% Ya Mawazo Yao Ni Jinsi Tu Ya KUKUCHUNA Na Ikibidi AKUUE Arithi Mali Ale Dume Mwingine.
Asante kwa maoni.
 
Asante kwa somo mujarabu,nimependa sana hiyo Mithari 11:2 kumbe watu wanaboronga mambo mengi tu kwa kutosoma maandiko matakatifu !!
 
Asante mpendwa binafsi nimeelewa kuna machache ya kufanyia kazi asante kwa kutukumbusha
 
Galacha maestro,ndivyo wadogo zangu walivyo na siku zote tabia haina dawa kuna ambao wana hizo sifa ila ni wachache sana, na ndo. Maana unasikia mke mwema anatoka kwa mungu,kila mtu anatakiwa kumshirikisha mungu anapo tafuta mwenza wake,ila naamin zamani wanawake wote walikuwa na maadili
 
Hiyo namba 7 ndiyo habari ya mjini.

Angalia Mithali 1:7-8

Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako.

Ukimpata asiyeigiza, umepata kitu chema.
 
Wise words.
 
Asante kwa mawaidha mazuri.
 
Uzi mzuri sana huu kwa wadada,mwenye hekima achukue yalio mema na kuyafanyia kazi,nina uhakika ataishi na kudumu kwenye ndoa yake ikiwa imejaa amani.
 
Back
Top Bottom