Je, unaweza ukawa HIV + na vipimo vikasoma negative?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
501
Reaction score
406
Nilitumia ujanjaunja nikampima HIV bila yeye kujua, majibu yakawa positive baada ya vipimo nikaingia mitini, tumekuja kuonana baada ya mwaka mmoja kupita katika stori za hapa na pale nikamwambia ukweli kwamba nilimkimbia kwa sababu ana ngoma,akaniambia sio kweli hana ngoma kama vipi twende tukapime popote.

Tulipoenda kupima vipimo vikaonesha hana maambukizi, ukimpima kwa macho anaonekana HIV +, maswali langu ni haya, je unaweza ukawa na maambukizi halafu kipimo kionyeshe negative au usiwe na maambukizi halafu kipimo kionyeshe possitive?
 
Wewe ulimpima kwa macho?
 
Hapo pagumu sana. Mie naona Ukimwi ni zao la genge la wahuni flani tu kuja na vipimo vyao vya ajabu!
 
Back
Top Bottom