Kumpa sifa tu mtu akae akijivimbisha na kujiona hakuna kama yeye. Ya nini sasaaHapo sasa .. Fedheha hizo nani anazitaka sasa
Hata hakuna aisee.hvi kweli bado binadamu wanapigana coz of mahaba....... ila wanawake kwa kiasi fulani wana timbili balaa..
Ndiokweli
True mkuu...hapo umenena Mkuu unaeza kukuta mpenz wako anapigwa so inabidi upambane tu