Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,900
Kichwa cha uzi wako hakiendani na maelezo ndani ya uzi. ..unauliza nini haswa?Hilo swali ndio linatutatiza wengi.karibuni Tu share ideas,njia zipi za kupata mpenzi bora??Girlfriend,Boyfriend..je unaweza Ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama FB or JF na mkafika mbali???
then ikawaje??hukumuelewa?au hakukuelewa?Binafsi mapenzi ya kwa mtandao ni yakidwanzi sana, nakumbuka mwaka 2015 nilipataga demu Kupitia FB so tukaishia kuonana tu mazeeH
Reality, Demu alinielewa sana kiswaga zangu na appearance yangu pia ila me mwenywe ndo nilizingua AiseeHthen ikawaje??hukumuelewa?au hakukuelewa?
sijawahi bado kua na mahusiano ya hvyoUkipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.
Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.
Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.
Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.
Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo
pole yake mkuu.haukua fairReality, Demu alinielewa sana kiswaga zangu na appearance yangu pia ila me mwenywe ndo nilizingua AiseeH
Mhh "Empty set" ni neno moja maarufu sana humu JF..!!Hapo umepata punga huko Fb unakuja sasa kutuuliza sisi... Empty Set kabisa
wote wajuaji hahHamna girlfriend wenyewe wa humu kina hussna the bosslady
nigga pleaseLabda nikupate wewe sio mjuaji
asilimia za kuliwa kubwaNi kama kucheza biko
Lipo kweli.Ukipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.
Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.
Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.
Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.
Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo
Sasa nikupe hints...sijawahi bado kua na mahusiano ya hvyo
game ngumu nimempa dogo.na Chavez,nimeweka elfu kumi.Man city hata 28+ hajatoa
Daaah