Je unaweka wapi mkono wakati umelala?

Hili swali si gumu kama mnavyodhani. Mtu akiwa amelala, kuna wakati mtu anashtuka au anapokaribia kuamka, kwa wakati huo ni rahisi kujua mkono/mikono ilipo kwani itakuwa imegusa sehemu husika.
 
Siko tayari kushare wangu!
Siko tayari kugawana upendo wako na mtu!

Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.
 
Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.

siko tayari kugawana upendo wako na mtu.
Tinkukunda
 
Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.
wangu umeona ukate mawasiliano ila
siko tayari kugawana upendo wako na mtu.
 
me huwa naitengeneza inakuwa mito yangu make huwa silalii mto!
 
Naomba utuambie, je wakati ukiwa umelala unaweka mkono au mikono sehemu gani ya mwili wako?

wadau me nahisi mtoa mada anamaanisha wakati wa kutafuta usingizi. na sio wakati umelala fofofo au co Kimbori?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mimi ninaelala kifudifudi, mikono naiweka pembeni ya mwili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…