Je, unawaza kitu gani kwa sasa?

Je, unawaza kitu gani kwa sasa?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Je, ni kitu gani unawaza kwa sasa?

Mi binafsi nimekaa hapa nipo nawaza tu. Je, ni kitu nifanye ili nipate pesa ninue gari ya ndoto zangu ili niendeleze mtanange wa kuwachakata kimataifa.

Cc Zero IQ
 
Namuwaza putin alichoniambia leo kwenye inbox ya tweeter kwamba taifa litakalotawala ulimwengu kwa sasa ni lazima lijiimarishe kwenye AI, [ARTIFICIAL INTELEGENCE] sasa nawaza nitaimplement vipi suala Hill hapa Tanzania.
 
Wapi nitapata nauli ya kutoka MSM - ZNZ na vip nitafanikisha ninachokifata huko?
 
Mm nawaza Wewe Bichwa sifuri juzi tu hapa umetoka ukweni.

Halafu leo tena unawaza gari ili uendeleze kuchakata mbunye.
 
Mimi sasa!

tmp-cam-8398206815081185959.jpg
 
Back
Top Bottom