Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
-
- #21
Nina swali. Is it the top university simply because ina train intelligence officers wa U.K? Because the only justification I have read from you so far regarding it being the best university is because it trains a majority of MI6 officers. Ni swali tu.
Kwa taarifa yako 95% wa intelligence officers wa MI6 ambao wako posted sehemu mbali mbali ambao wanafanya mpaka Industrial espionage wametokea SOAS..na ni jambo ambalo wenyewe hawapendi ndio maana kila kukicha gazeti la times uliloliquote linakuja na league tables kwa ajili ya consumption ya watu kama nyie..by the way this is the same ranking system which gave a very good rating to the university of Hull's maths department which no longer existed!!!
Ohh lakini usipate taabu kwa sababu hata kama umesoma historia ya SIS au MI5 ya UK ...
nitauktumia link ya documentary ya RADIO 4 inayoendela sasa hivi inazungumzia mambo haya ya intelligence
by the way kule kwenye thread ya JOHN LUSINGU tunakusubiri
In 2008, SOAS jumped 15 places up to ninth best university nationwide in The Good University Guide, and we were rated fourth in London. We also moved three places up to eighth in The Guardian newspaper's league tables of top UK universities.
http://www.soas.ac.uk/about/
GT
Haya ningependa kukubaliana na wewe kuwa sababu ya SOAS kuwa juu zaidi ya Oxbridge ni kuwa 95% ya makachero wa M16 wamesoma hapo.
Ila kabla sijakuamini 100% naomba uthibitisho wako, japo wa gazeti la udaku unaosema 95% ya makachero wa M16 wamesoma SOAS.
Ukinipatia huo uthibitisho (japo wa gazeti la udaku) mimi nitafanya utafiti wangu za ziada kuanzia hapo.
Ni dhahiri kuwa hata wao wanaheshimu list inayowekwa na magazeti kama The Times na Guardian etc. Kwa lugha nyingine ni kuwa hata wao SOAS wanakubali kuwa wana kazi ya kufanya ili kufikiwa kiwango cha LSE, UCL, Oxbridge, St Andrews etc.
Jisomee mwenyewe list kamili hapa....
http://www.guardian.co.uk/education/table/2009/may/12/university-league-table
Nakusubiri
Geez - that is one poorly written polemic. It reads like it was written by a first year University student for the school newspaper.
Sorry to dissapoint you lakini sitokupa hizo sources za magazeti ya udaku kama unavyo demand ila nitakupa secondary sources zangu nazo ni vitabu vifuatavyo:
lakini kwa kukusaidia tuu nakuomba ununue vitabu vifuatavyo:
MI6: Fifty Years of Special Operations (stephen Doriil)
lakini ili kufikia huko naomba usome hiki kitabu:
I guess you are geared to discuss University league tables zilizokuwa compiled na magazeti eeh? all i wanna tell you is when you manage to do 25+ essays on subjects a term with reading lists as long as your arm, stuffed with references that many academics at other institutions have never seen, often in your first year of study and marked by those whose academic merit often exceeds those at other institutions by quite a margin, your comments may be worthy of examination.Thats the life at SOAS lakini dont worry..nishasahau unataka mjadala wa university league tables
Ohh lastly ..waingereza after the fall of the empire knew kuwa they have to adapt to GEO-ECONOMICS and not GEO POLITICS ndio maana chini ya Lowassa mliwapa ma bilioni na hakuna mtu aliyeuliza kulikoni??
Hawa jamaa niliwaona BEST programme offices pale WaterFront 6th floor i think. I was told wanafanya professional services like procurement auditing forf that programme. Office yao ina wazungu na wabongo wachache. I really didnt know all about this; thanks to u SHY
News
Tanzania investigating barred UK firm's affiliate
World Bank country director for Eritrea, Kenya, Rwanda and Somalia Johannes Zutt at a press conference. The Bank has strict procurement guidelines. Picture: File
The Tanzania government is investigating Crown Agents Services (Tanzania) Ltd, an affiliate of the UK-based Crown Agents for Overseas Governments and Administrations Ltd, after it was barred by the World Bank from operating in the country for six months for breach of procurement guidelines.
Crown Agents is an international development specialist that, in its own words, "works with leaders across the world to make profound changes to systems, organisations and society."
An official with Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said the body was investigating the company in Tanzania after the UK Company and its affiliates were sanctioned under the World Bank fraud and corruption policy in October this year for six months over fraudulent practices in relation to a World Bank-executed project in 2006. The sanction also covers Crown Agent Services (Tanzania), which was incorporated in Tanzania in December 1979.
"Due to the fact that the firm is incorporated in Tanzania, PCCB needs to get some response over the allegations of fraud and corruption," said the official.
Read More from The East African
Na hao wabongo wachache unaowaona pale wana close associates ambao ni wazungu, kama sio kibabu kiboifrend basi ni shemeji kibabu. Kama kuna watu wanachakachua hizo hela za DANIDA through BEST program ni hawa! In the name of controlling, tunagawana umaskini!
Me mwenyewe nimechoka kabisa! Hii dunia bana!Personally this is a very bad news for me! Was getting engaged with the company soon! I have to rethink my decision!
Kama mko serious kupiga vita UFISADI then mbona hawa hamuwazungumzii? Mnaogopa? basi msiogope mkiulizwa semeni nynyi pia mmeicopy from post ya GT sawa?
anyway, website yao kuhusu Tanzania wanasema hivi:
Hawa bwana ukiwaingilia ni kama vile unaingialia biashara za CROWN ya HRH au HER ROYAL HIGHNESS lakini vile vile lazima uelewe walianza anzaje mpaka leo unakuta wanaweza kuiambia serikali yoyote iliyotawaliwa na BRITISH cha kufanya na wakafanyiwa bila maswali and of course that includes the UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Huwezi kuwazungumzia hawa jamaa bila kumkuta BILLIONAIRE Edmond Safra, HUWEZI KUZUNGUMZIA crown agents bila kuwazungumzia organisations zifuatazo:
Prince of Wales Business Leaders Forum
Aga Khan Foundation
School of Oriental and and African Studies (the best university in the world....sababu nitawapa baadae lakini its far far ahead of Oxford and Cambridge, Harvard, MIT, Yale etc)
Christian Aid (hawa wapo sana hapa Tanzania lakini wamejazana majasusi tuu)
Barclays Bank (sina sababu ya kuelezea saana hii in the wake or RADAR SCANDAL)
Standard and Chartered Bank (Need i say more?)
Unilever, (hawa ni major agricultural products cartel. Like Shell Oil, the company is Anglo-Dutch na connections zaidi zinaweza kuwafanya watu kadhaa serikalini kufadhaika kwa sababu ambazo mnazijua)
Tate and Lyle, (Hawa ndio Britain's leading sugar cartel, ambao wana close corporate links American firm inayoitwa Archer Daniels Midland.
Sasa hawa Tate and Lyle and ADM walishawahi kuwa under investigation
U.S. Department of Justice for illegal monopoly practices na nakumbuka matop kadhaa wa ADM walikuwa indicted-connection na Tanzania? Tazama Ilovo walivyoshinda na kumonopolise mashamba ya miwa WHICH INCLUDES mtibwa sugar...
Securicor plc...nadhani mnawajuwa hawa
Sasa leo TUKURU au PCCB wanataka ku-investigate UFISADI sidhani kama watafika mbali kwani haiwezekani na kila kitu kimejikita ile mbaya saa zingine bora tukatazame YANGA wanavyocheza na kurudi majumbani mwetu maaana haya mambo ya kudanganyana eti tutakula sahani moja na mafisadi hatuwezi kwani interconnectedness ya wahusika ni kubwa mno ...
Me mwenyewe nimechoka kabisa! Hii dunia bana!