Je, unatamani kuwa wa kwanza kupanda treni ya umeme?

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amefunguka kuhusiana na kuaminiwa kusimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa Standard Gauge pia akibainisha siku ya kuanza majaribio ya safari ya treni hiyo ya umeme ikitoka Dar es salaam kwenda Morogoro. NOVEMBAR MWAKA HUU TUNAWASHA....TANZANIA MPYA YA UTEKELEZAJI hongera kwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Muulize joni aliyetaka kumuua
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amefunguka kuhusiana na kuaminiwa kusimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa Standard Gauge pia akibainisha siku ya kuanza majaribio ya safari ya treni hiyo ya umeme ikitoka Dar es salaam kwenda Morogoro. NOVEMBAR MWAKA HUU TUNAWASHA....TANZANIA MPYA YA UTEKELEZAJI hongera kwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO View attachment 1017389View attachment 1017390

Leo Ni December 9 Hanna Cha treni Wala reli yake DAR ES SALAAM
 
Huu mradi umefikia wap



Waturuki walikuwa wanakesha kukimbizana nao sijui wanamaliza lini, pale Morogoro wamejenga nguzo za jengo la abiria wameliacha sijui wamehamia wapi, ila weekend unawakuta wanakokota vibinti mjini
 
Back
Top Bottom