Je? Unatafuta dawa ya mapenzi

Je? Unatafuta dawa ya mapenzi

JURGE WALYOBA

Member
Joined
May 14, 2014
Posts
51
Reaction score
8
Kwa wanaohitaj dawa ya mapenzi,ushauri na wapenz wazuri tutafute kupitia email (www.hamzaboywalyoba@gmail.com) au tufuate mojakwa moja kwenye mtandao wa facebook kupitia jina JURGE WALYOBA
usisite kututembele
 
Asante Jaji Warioba, ila hamna dawa ya mapenzi duniani. Hiyo post ilitaka kuwa ya jukwaa hili ila nakushauri uingeiweka kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo
 
hivi upuuzi bado upo hapa nchini? nakumbuka wadada kibao wamepigwa pipe na waganga feki
 
mie natafuta dawa ya mapenzi kwa serikali yaani serikali iwe na mapenzi ya dhat kwa raia wake...........ukinihakikishia hii unayo utaniona mlangoni kwako wa kwanza
 
Dawa ya napenzi kila mtu anayo umezaliwa nayo natural. Ndumba na linbwata nu dalili za kushindwa kutumia ile ya bure aliyokupa Mungu.
 
Back
Top Bottom