Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,706
- 8,875
Kwa niaba ya Mdau wa Jf @OKWI BOBAN SUNZU na wana-Jf
Wakuu tunaelekea mwezi wa tatu toka serikali ya Magufuli ianze kazi.Zipo hatua kadhaa zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa katika kutekeleza ilani na ahadi zake.Je unaridhika na utendaji wake pamoja na hatuna anazochukua na yeye ama watendaji wake?PIGA KURA. OMBI:Mods tunaombe muweze mada katika mfumo wa Poll