Je unapenda mchezo wa Tennis

Je unapenda mchezo wa Tennis

Huyu ni ke au me? Au dumejike! Ama jikedume? Sielewi!
 
Wacha weee.

Badala ya soka mchezo mwingine ninaoupenda ni huu
 
Safi sana
Sawa sawa tena kama mimi ni hivo hivo na netiboli tu tena kwa raha na kuvunja mbavu

Nina uhakika unaenjoy sana
Kupita kiasi hasa pale mmoja anapokuwa na advantage kisha mwenzake anamuharibia au pale wakiwa wanapelekeana ndefu kisha mmoja anadondoshea karibu na nyavu si mchezo.

Kwa kweli huu mchezo naupenda mwanzo mwisho
 
Venus ni mwembamba mweusi.Huyu ni Serena bonge na mtumia mkorogo.
 
Mambo ya tennis hayo...
attachment.php


Huyu ni Tennis Super Star Serena Wiliam Kaumbika kiukweli......Ngozi tena ina uzuri wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom