Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
maana isiwe ikawa sheedah siku nyengne oooh umenpotezea muda wakat sijakuona miez sita yote hyo naanzajee??? kukuamini tu ahh wap!!
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
sijamaliza kusoma, sjui njaa!
hihihiiii, hii inakuhusu moja kwa moja mtuwangu!
CYBERTEQ Mkuu niliku PM unielekeze something but ukanichinjia baharini bwana!!
Acha tu naona mshale umeingia kunako
Kama unampenda for real and you love each other unaweza kuyamudu!!
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
somo limeingia eeh?..safi sana.
Kuna wengine kisaikolojia wana amini wanaishi pamoja lakini kwa upande mwingine unaweza ukakuta yule ambae yupo Dar na mwenzake yupo Mbeya wakawa na ukaribu zaidi. Kwanini nasema hivyo, unakuta wote wawili wapo Dar lakini kazi zao safari ni nyingi utasema kiongozi wa mbio za mwenge, ukifika leo weekend unazuga siku 4 baada ya hapo safari wiki mbili hivyo hivyo unakuwa kila siku wewe ni mzee wa field work
Ahhahhahhahhhaaaaaaaa sijaelewa vizur nielekeze bas
Jinsi safari zilivyomzoea mpaka anakuwa mbunifu wa kufanya maandalizi ya safari yaani akiondoka kwenda Mbeya anaacha kabisa bag lingine ameshafanya packing ili wakati akirudi anazuga siku mbili tatu kwa kuandika report ofisini then anachua bag safari nyingine ya Babati anaacha tena amepaki kabisa bag kwa safari ya DodomaHahahaa haaaa
Aiseeeee
Umenichekesha eti km 'kiongozi wa mbio za mwenge'...
Ila kweli yaani kuna watu kazi zao wanasafiri kula siku tena wakiwa na michepuko