Je, unamudu vipi mapenzi ya mbali? Tupeane utaalamu

Je, unamudu vipi mapenzi ya mbali? Tupeane utaalamu

sawa lakin bor una uhakika atakuepo after muda mfup tofaut na mbal ki ukwel unahtaj kua na iman ya kipekee haswa kwenye hii dunia ya mchepuko
 
Kama mapenzi yenu yamejengwa juu ya misingi ya matamanio ya ngono basi lazima kuwe na ugumu...

Unajua wanadamu huwa tuna kawaida ya kujitengenezea matatizo sisi wenyewe, halafu dhoruba inapofika tunabaki kutoa visingizo kedekede...

Mapenzi yana kanuni moja tu nayo ni UPENDO, na yoyote anayetaka kuexercise mahusiano ni lazima azitambue na kuzijua sifa za UPENDO...

Wapo wapenzi walio karibu kama korodani na uume lakini kwao usaliti ndio sheria walioichagua, na wapo walio mbali kama utosi na unyayo UPENDO kwao ndio sheria....
Bulldog
 
Last edited by a moderator:
wakati tunanyegeshana kwenye cm niwe na ile vibration ya Mange au ni vidole?
 
relation ya mbali nadhani ndio ninayoiweza but somtym inakera sana
 
shida wanaume wengi mpaka waguse ndo walidhike,njia hiyo wala haina msaada sana utamfanya akatafute pakumalizia feeling zake,wakusubir atasubir tu,
 
hiyo chating ya aina hiyo huamasisha ngono saana, nadhan kama mtu asipokuwa mvumiliv huenda ikasababisha achepukeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hili kwa mwafrika haliwezekani. Kama mtu anachepuka kisa mke kajifungua au mume anakabiliwa na gonjwa la miezi 3, ataweza kukaa mwaka au zaidi akiwa anaigiza kugegedwa/kugegeda???
 
Mkuu inategemea na posibility ya kumwamisha mwenzako..kama hamna unamwachisha kazi..na wew ukipigwa redandancy itakuaje?wote mtakua jobless.pia inategemea na atitude ya mwanamke katka kuacha kazi na kukufuata wewe...naamin si wote watakubali kuacha kazi zao nzuri kwa sababu ya ndoa.

boss listen here....wewe ndio unayeoa sio kuolewa. weka wazi matakwa yako mapema kabisa. mie bwana suala la mke kuishi mbali na mie halipo kabisaaaaa. hivyo basi namueleza mapema kabisa. pili yeye ndio ataacha kazi sio mie. kama hawezi pata uhamisho basi anaacha kazi hivyo ni lazima mimi kama mume wake niwe nimejipanga kuweza kumudu mke wangu kukaa bila kazi kwa mwaka au ata miaka miwili.
jamabo lengine ni kwamba wakati ninataka kuoa basi lazima nichague mwanamke ambaye anataka kuwa mke sio anataka kuolewa. itanilazimu pia nipate mke ambaye vyeti vyake vipo mwake. hii itanihakikishia kuwa kama itatokea tukahamia mkoa mwengine au nchi nyingine basi yeye kupata kazi sio ngumu sana becoz qualifications anazo. haya mambo ni kuwa muwazi toka mapeema
 
Back
Top Bottom