Je, unamudu vipi mapenzi ya mbali? Tupeane utaalamu

Je, unamudu vipi mapenzi ya mbali? Tupeane utaalamu

wee mwanaume bwana mie nikipigwa transfer wife must follow no discussions.
akipugwa transfer namwambia acha kazi. utakaa jobless kona for a while na ni jukumu langu kuhakikisha unapata mahitaji yako yote. ndio maana kidume ujipange kabla ya kuoa...uwe na uwezo wakuhudumia family wewe peke yako.

Mkuu inategemea na posibility ya kumwamisha mwenzako..kama hamna unamwachisha kazi..na wew ukipigwa redandancy itakuaje?wote mtakua jobless.pia inategemea na atitude ya mwanamke katka kuacha kazi na kukufuata wewe...naamin si wote watakubali kuacha kazi zao nzuri kwa sababu ya ndoa.
 
Duuu nafikiri hiyo ni moja ya kazi ngumu sana kwenye mahusiano ya siku hizi!
 
Una mpenzi wa masafa marefu?....Mapenzi ya mbali yanawezekana lakini wahusika wanatakiwa wawe na uelewa mkubwa sana kuhusu mapenzi, vinginevyo yatakuwa hayana maisha marefu.
Kupenda wa mbali yataka moyo. Inatakiwa uwe unaishi sehemu ambayo haina vishawishi. Mia
 
Mapenz ya mbali yawezekana kama mliyajenga kwenye upendo na uaminifu

Kama sio acha kabisa kwa maana utakuwa unamcheat mwenzio hadi basi.
Hata ya karibu mwenzio nayaona tabu, hasa unapompigia simu mtu hapokei au anakuambia nikiwa free ntakutafuta. nachokaje!?. Bora niwe peke yangu kwa muda tu. mia
:hug:
 
Kila shetani Na mbuyu wake, Sijui nani alidhibitisha hili, Utachepukaaa Mpaka vizikino viishe ila Kama umemuacha umpendae mbali utamrudia
 
Kupenda wa mbali yataka moyo. Inatakiwa uwe unaishi sehemu ambayo haina vishawishi. Mia

Wakati mwingine inabidi kujiandaa kisaikolojia maana hizi ni dharula kwani mpaka yamekuwa mapenzi ya mbali maana yake before mlikuwa karibu ila kuna dharula zimejitokeza ikabidi muwe mbali, pia inategemea na aina ya kazi na mkoa ambao partner wako yupo, mfano mmoja yupo Dodoma au Iringa au Arusha au Mbeya na mmoja yupo Dar na shughuli zenu zinawawezesha (kipato kinaruhusu) kila baada ya muda mmoja ana move kutoka point A kwenda B huku kunakuwepo na plan B ya kuwa pamoja in the near future (hapa nadhani kunakuwa hakuna shida sana kama kweli mnapendana na mnakuwa mmeweka kabisa utaratibu wenu vizuri). Kama hakuna Plan B ya kuwa karibu kwa siku za karibu alafu location mliyopo kwa kila mmoja kuonana mara moja kwa mwaka hapo itakuwa ngumu kumeza
 
hayo maswala ndio cyatkag mie ukitaka ya mbal no comitment ili vkibuma hakuna kulaumiana...
raha ya ndege jion arud bandan banaaa

Kuna wengine kisaikolojia wana amini wanaishi pamoja lakini kwa upande mwingine unaweza ukakuta yule ambae yupo Dar na mwenzake yupo Mbeya wakawa na ukaribu zaidi. Kwanini nasema hivyo, unakuta wote wawili wapo Dar lakini kazi zao safari ni nyingi utasema kiongozi wa mbio za mwenge, ukifika leo weekend unazuga siku 4 baada ya hapo safari wiki mbili hivyo hivyo unakuwa kila siku wewe ni mzee wa field work
 
Ndo mapenzi pekee ambayo huwezi kupata maambukizi ya VVU, dah sijui naeleweka?
 
Back
Top Bottom