Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Last edited by a moderator:
Kama mapenzi yenu yamejengwa juu ya misingi ya matamanio ya ngono basi lazima kuwe na ugumu...
Unajua wanadamu huwa tuna kawaida ya kujitengenezea matatizo sisi wenyewe, halafu dhoruba inapofika tunabaki kutoa visingizo kedekede...
Mapenzi yana kanuni moja tu nayo ni UPENDO, na yoyote anayetaka kuexercise mahusiano ni lazima azitambue na kuzijua sifa za UPENDO...
Wapo wapenzi walio karibu kama korodani na uume lakini kwao usaliti ndio sheria walioichagua, na wapo walio mbali kama utosi na unyayo UPENDO kwao ndio sheria....

Dyuuuuuuuuh..n hatare.nzuri nimeipenda hii. But mm huwa siyap nafas mapenz ya mbali hasa zaid kama masomo au kuish nch mbl tofaut. Hakuna ktu mapenz ya mbali jamnii, yaan n HAPANA BUANA. We kiwatengu kam hia.
well said nimependa ujumbe wakoKama mapenzi yenu yamejengwa juu ya misingi ya matamanio ya ngono basi lazima kuwe na ugumu...
Unajua wanadamu huwa tuna kawaida ya kujitengenezea matatizo sisi wenyewe, halafu dhoruba inapofika tunabaki kutoa visingizo kedekede...
Mapenzi yana kanuni moja tu nayo ni UPENDO, na yoyote anayetaka kuexercise mahusiano ni lazima azitambue na kuzijua sifa za UPENDO...
Wapo wapenzi walio karibu kama korodani na uume lakini kwao usaliti ndio sheria walioichagua, na wapo walio mbali kama utosi na unyayo UPENDO kwao ndio sheria....
???????????????????😡😡😡&:embarrassed::embarrassed:well said nimependa ujumbe wako
CYBERTEQ pitia hapaNi kawaida kuwa unapokuwa kwenye mapenzi ina maana ni kuwa pamoja lakini kwa namana moja au nyingine huwa tunaishia kuwa mbali-mbali kutokanana shughuli zetu kama vile masomo, kazi na wakati mwingine inatokea tu mmekutana nyote mkiwa mnaishi sehemu tofauti kama sio nchi mbali-mbali.
Natambua kuwa ni ngumu sana kuufanya uhusiano wa kimapenzi kuendelea ikiwa mnaishi mbali-mbali na hasa kama uhusiano huo ndio kwanza unaanza yaani mpya, hamna uhakika na uhusiano wenu unakwenda wapi (sio serious), wivu kati yenu n.k. hali hiyo hufanya mmoja wenu kuachia ngazi na kuendelea na maisha yake kivyake bila wewe.
Lakini ukweli ni kuwa haijalishi umbali kati yenu, swala muhimu ni jinsi gani mnapendana au jinsi gani mngependa kuwa pamoja na hivyo kujaribu kufanya mambo ili uhusiano huo uendelee kuwepo mpaka hapo mtakapo kutana tena either kwa kutembeleana au mmoja wenu kujitolea mhanga na kuhamia aliko mwenzie.
Jinsi ya kuufanya uhusiano wa mbali uendelee.
Kitu cha kwanza kabisa unatakiwa ujue hisia zako ziko wapi? Je unampenda mwenzio kwa dhati na uko tayari kumsubiri mpaka atakaporudi au mtakapo kutana tena. Kama uko tayari kujitolea mhanga basi utapaswa kujenga uaminifu juu yake na wewe mwenyewe kuwa mwaminifu.
Pili, Kwa vile hamuwezi kuonyeshana hisia zenu za jinsi gani mnapendana ana kwa ana, njia pekee ya kuonyeshana hisia zenu ni mawasiliano ya mara kwa mara, iwe kwa simu, ujumbe mfupi wa simu, barua pepe au chatrooms .kwa vile hamuonani kabisa hali hiyo huongeza hamu ya kutaka kusikia kutoka kwa mwenzio.
Lakini kumbuka sio mnangangana kwenye kuambiana mnapendana kiasi gani au mnakumbukana vipi bali tumieni muda huo kuzungumzia mambo tofauti ya kimaisha kama wapenzi siku yako ilivyokuwa, unafanya nini siku hizi kama kuna mabadiliko yoyote umefanya toka mmekuwa mbali-mbali, unampango gani in a wiki/mwezi, shughuli zako zinavyokwenda n.k.
Jaribu kujali na kujibu mails, text au barua kwa wakati sio unauchuna 4 weeks ndio unajibu au hurudishi simu mpaka ulalamikiwe, hakikisha unatimiza ahadi zako kwamba jitahidi kufanya/timiza yale uliyoahidi utafanya na epuka kuahidi ukijua huwezi kutimiza ahadi yako, hilo tatu.
Nne, jaribu kufanya mapenzi kila mnapojisikia hivyo idearly mara moja kwa wiki ..najua unajiuliza how? Well pamoja na kuwa haitokuwa kama vile mnavyofanya kihalisi lakini bado itawaongezea ukaribu kimapenzi.
Unachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa ajili hiyo nikiwa na maana mazingira, muda wa kutosha pia kutumia sauti yako, pumzi, maneno na imagination vilivyo na mambo yatakuwa bomba kama kweli vile.
Sote tunajua kuwa wanaume na ego zao huwa wanapenda kuwa incontrol na hivyo hupenda kuongoza linapokuja swala la kufanya mapenzi hata wanapokuwa Kwenye simu.
Sasa hapa nitajaribu kukupa mfano wa kufanya mapenzi kwa njia ya simu, kumbuka tu kuwa hii ni sanaa na unapaswa kujifunza kila siku ili kuongeza ujuzi na vionjo sio unashupalia come on baby .come on baby.
Kitu unachotakiwa kutilia maanani ni kujua anapenda kufanyiwa nini au kusikia maneno gani kutoka kwako ambayo yatamnyegesha. Mfano mimi napenda kuambiwa kile unachokifanya.
Mke-Hey sweetie, mambo yako? Leo nina hamu kweli ya...na wewe..
Mme-Oh yeah ..
Mke-Anha .
Mme-Unatakaje
Mke-Vyovyote.
Mke-Baby, imagine niko chumbani nimeinama huku nina kanga natandika kitanda, Unakuja nyumba yangu na kunikumbatia Unanishika kiuno unakwenda taratibu na kuyashika matiti yangu, sasa unaweka midomo yako na kujaribu kunyonya chuchu ..aawww .isssshh it feels so good Sasa unanibusu midomo yangu, nakushuka maeneo ya shingo, huku ukinipapasa taratibu, nashindwa kujizuia najiangusha kitandani.
Hapo sasa Mwanaume ndio unachukua hatamu nakuendeleza game.
Mwanamke unatakiwa kujiachia kutokana na raha unayoipata wakati huo huwa nzuri sana kama nyote wawili mtabadilishana sauti za utamu au raha mnayoipata nikiwa na maana kama vile mnafanyana physically.
Mfano: aaah yess aaah baby tamu . Nifanye kwa nguvu .(hapo vipi) hapo hapo.inaumaaaaah (pole mpenzi) nahisi kichwa kilivyo moto etc-etc...Mia
mapenzi ya siku hizi hayana gurantee ya kuishi pamoja sehemu flani like hapa dar kwa sababu mwenzio anaweza pta transfer au wewe mwenyewe ukapata transfer...cha msingi ni upendo na uaminifu.kama mwenzio si mwaminifu hata mkiishi pamoja atacheat tuu.
Maneno yako yamenifariji sana