GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Leo katika safari zangu nilikutana na mtu njiani bus stop, tukawa tunapiga story hapa na pale, akaniuliza where are you origin from? Nikamwambia zanzibar, nikamuuliza have you heard that? Yah yeah, akanambia kuna muimbaji kutoka zanzibar ameshafariki,anaitwa Freddie Mercury. Nikaingia Google kumtafuta, nikapata kumuona, jee wewe ushawahi kumuona au kusikiliza nyimbo zake? Vijana wa leo kama sisi si dhani kama tunamtambua.